Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp na ule mchicha utokao lugalo,maji yake yanatokea wapi?nimeupenda uchambuzi wako kwa njia hii JF is very construstive
Ahsante sana bossman kwa hii taarifa. Itabidi niwe naagizia mboga kutoka Bagamoyo sasa
Ngoja tuone anayehusika na hili ni nani na atachukua hatua ganiMto Ruvu haupo mbali na Dar. Kwa nini serikali isuchukue juhudi za makusudi kuchochea kilimo cha mboga mboga Ruvu na hivo kuhakikisha wakazi wa Dar chakula salama.
Acha papara hariri jibu lako kwenye kiswahili sanifu, andika taratibu na kwa kituo utaeleweka...hapa hatupingani bali tunapeana elimu na maarifawatu sio jui tatizo ni shule sewage system anaadhiri vip mbogamboga
ukisoma FOOD WEB utajua umuhim wa micro organism kwenye mimea ili kuprovide freee Nitrogen na ndio maanaa kuna mbolea za samadi ambazo zina many many dacaye material
kwa nchi zilizoendelea uchafu wowote kutoka kwa living organism hubadilishwa kuwa mbolea ya viwandan
.insue hapo ni HEAVY METAL kama zinaingia kwenye huo mto ndio ndizo za kuhofia na sio sewage system
Ile ruvu yote ya juu na chini hizo pekeyake tukiamua kuwekeza kwenye kilimo cha mboga mboga salama tunaweza hata kupata ziada ya kusafirisha nje ya nchiNi janga na jipu pia - hapa kuna fursa kubwa tu ya vijana, ila wapatiwe uwezo yatengwe maeneo salama na serikali iweke miundombinu ya umwagiliaji wa maji safi halafu ikodishe bustani hizo kwa vijana ambao wamejaa mjini hawana ajira. Wanasiasa lichukueni hilo; hiyo miundombinu mbadala ikiwekwa basi sehemu chafu zote watu waondolewe kama wanavyovunja mabanda ya kando ya barabara, only after serikali imeweka sehemu mbadala ndio wawavunjie, lakini kwa sasa tunakula sumu tu
Unakula nini kiongozi?binafsi tangu nipite mto msimbazi mwaka wa juzi na kujionea jinsi mboga za majani zinavyolimwa sijui kuoteshwa hususani maji wanayotumia kumwagilia aiseee sijawahi kula wa sitamani kutumia labda nikiwa nje ya darisalama
dagaa kauzu, bamia, dagaa la kigoma, samaki, nyama, nyanya chungu kwetu tunaita ngogwe, biringanya nkUnakula nini kiongozi?
Bado hauko salama nyama bamia na nyanya chungu ni Yale yale nadhani ni vema kuwekeza kwenye mazoezi na kunywa maji mengi na endelea tu kumuomba Mungudagaa kauzu, bamia, dagaa la kigoma, samaki, nyama, nyanya chungu kwetu tunaita ngogwe, biringanya nk
Kuna matatizo ya mboga za majani walazo wakazi wa majiji.UKiangalia hivi video ya Nairobi ya kitoweo tatanishi unaweza jua tatizo lililoko dar ni hilo hilo.Serikali ichukue hatua
mkuu nafanya sana mazoezi na ndio sababu sina nyama, kwanza nikikaa wiki sijafanya mazoezi naumwa, ni kuomba tu Mungu atuepushe na adha hii, maana utakwepa huku utakamatwa huku ili mradi tu wakuondoe dunianiBado hauko salama nyama bamia na nyanya chungu ni Yale yale nadhani ni vema kuwekeza kwenye mazoezi na kunywa maji mengi na endelea tu kumuomba Mungu
Kweli kabisa ni ngumu sna kuepuka basi ni neema tu.mkuu nafanya sana mazoezi na ndio sababu sina nyama, kwanza nikikaa wiki sijafanya mazoezi naumwa, ni kuomba tu Mungu atuepushe na adha hii, maana utakwepa huku utakamatwa huku ili mradi tu wakuondoe duniani