N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Sawala village MufindiWapi huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawala village MufindiWapi huko?
Hivyo ule utamaduni wa kupanda mboga zako uwani au nje ya nyumba umeishia wapi? Manake mie nakumbuka wakati tunakua tulikua tunanunua mboga mara chache saaana. Tulikua tumepanda matembele, mboga za maboga, kisamvu nk. Lakini nyumba za siku hizi hata vimche vichache vya mboga hamna, ni mismenti kila mahali. Yaani naitamani ile hali ya zamani. Ndio maana watu utakuta wanakula mboga za majani nk, lakini bado wanakufa na kansa. Yaani siku hizi kila nyumba kuna mtu ambaye ana kansa au kafa na kansa unamjua. tubadilike jamani, tujali afya zetu.
Anhaaa sawa. So unaishi hapo kijijini?Sawala village Mufindi
Weekdays nakuwa kazini mimi mtumishi. Au unataka watumishi tununue hizo mboga za sumu??? Unategemea nikirudi giza nikamulike na tochi kuona kama mchicha umeliwa??? Soma article za mwandishi kabla hujamjibu vinginevyo unaonekana unaongea kama bado uko shule unakaa kwa wazazi.Kwani during week days hauishi hapo? Kwanini ustuke weekend kuwa spinach imeliwa na ndege
Mbona unakosa ustaarabu katika jibu lako? Sidhani kama swali langu lipo jinsi ulivyoliewa. Anyway pole kwa changamotoWeekdays nakuwa kazini mimi mtumishi. Au unataka watumishi tununue hizo mboga za sumu??? Unategemea nikirudi giza nikamulike na tochi kuona kama mchicha umeliwa??? Soma article za mwandishi kabla hujamjibu vinginevyo unaonekana unaongea kama bado uko shule unakaa kwa wazazi.
Mkuu Nimesoma Agriculture pia... So Naelewa nachosemalaiti kama ungekuwa umeshafanya ufugaji au ukulima japo kidogo ungemuelewa mtoa mada na ingekuwa nyongeza kwa hiyo biology!
Mkuu kuna Mazao wengine tumekula yalipokuwepo Mashambani yalimwagiwa Dawa aina ya DDT ilikuwa ni sumu mojawapo tulikula lakini hatukufa Mazao hata ya Sasa yanamwagiwa Dawa kadhaa wa Kadhaa... Kuku hawa wanalishwa vyakula na Dawa ni sumu tupu anyway elewa tu haupo safe... kwa kila kitu wait tu siku yako ya kuepire ifike utakwenda tu hakuna pa kukwepa.... issue kuu leta mada za watu kuishi miaka mingi haswa wale wa japan na Amerika ya kusini wasiokula red meat hula uyoga fulani na mimea kwa wingi... kukataza mboga za Majani mie nitakupinga hadi kesho...Kabla sijaileta hii mada hapa nilijiridhisha kwa kusoma hiyo biology unayojivunia wewe ambayo ni segment ndogo sana kwenye food poisoning, usiangalie biology tuu ni factor ndogo sana kwenye ukuaji wa mimea na wanyama
Sasa nimegundua kuwa hukunielewa kabisa hakuna popote nilipopinga matumizi ya mboga za majani bali utaratibu unaotumika kuzikuza kwenye mabonde husikaMkuu kuna Mazao wengine tumekula yalipokuwepo Mashambani yalimwagiwa Dawa aina ya DDT ilikuwa ni sumu mojawapo tulikula lakini hatukufa Mazao hata ya Sasa yanamwagiwa Dawa kadhaa wa Kadhaa... Kuku hawa wanalishwa vyakula na Dawa ni sumu tupu anyway elewa tu haupo safe... kwa kila kitu wait tu siku yako ya kuepire ifike utakwenda tu hakuna pa kukwepa.... issue kuu leta mada za watu kuishi miaka mingi haswa wale wa japan na Amerika ya kusini wasiokula red meat hula uyoga fulani na mimea kwa wingi... kukataza mboga za Majani mie nitakupinga hadi kesho...