Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

MAGUFULI ATABAKI KUWA JUU JUU KILELENI Hiyoooooòoo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Wewe umeonekana wp kiazi wewe, nyie leo ndio mmekusanywa pale na kudanganywa eti amepokea gawio, yaani hiyo kampuni ya twiga hata miezi minne haijafika tangu ianzishwe leo gawio linatolewa, ama kweli ccm safari hii mmepatikana

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Unalewa serengeti za wagombea unakunya kunya humu shwaini. Subiri tuwaonyeshe nini kitengo kaz yake.
Kitengo gani mkuu?? Cha uvccm?? Subri october jeshi litawashangaza. Si mnategemea jeshi nyie?
 
Pale hakuna gawio kuna usanii tu.
 
Mtaingia chooni mtalia wee mtatoka nje mnajifuta machozi watu wasijue ila #RAIS NI MAGUFULI 2020-2025
 
Reactions: BAK
We jifurahishe tu,utakuja umwa kisukari kwa chuki zako kenge wewe.magu lazima afunge hesabu kumi lazima amalize, wewe hutaki hama nchi. Lissu ndo nani kwanza? Upinzani gani hata ajenda hauna kaz kumsakama magufuli kila leo nyie hamna mpya vibaraka.
Huyo katiri na gaidi kwao tu hawamtaki wewe ambaye hata chai ni ya tabu kazi kujipendekeza tu unadhani atakuwa rais muda wake umekwisha aondoke kwa amani tu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…