FaizaFoxy , kwa lugha nyingine unaituhumu serikali kwamba inakusanya kusanya watu tu bila kufanya hata uchunguzi wa awali?
Kwamba kila mtu akitajwa hakuna intelijensia ya kuchunguza kama kuna sababu ya kumshikilia kwa uchunguzi zaidi?
Kwamba sasa jeshi letu liko katika ngazi ya sungusungu ambako mtu alikuwa akisemwa semwa tu tayari anahukumiwa na hata hukumu za vifo?
Haki itatendekaje katka jehsi la namna hii? Nini kifanyike?
Kwa sababu unaonekana kuwa na akili sawa na za teja nikuulize kuwa kwa mfano niko barabarani halafu hilo teja lako linaniomba hela nakataa kulipa litaenda polisi wapi ili linitaje kwa jina gani wakati limenikuta tu njiani wala halinijui?
kutowa = kutoaHii ni tahadhari tu. Kutowa au kuto kutowa ni uamuzi wako.
kama nawewe ni ''Mteja"'Kwa kipi zaidi?
Liwalo na liwe lakini sio kumpa teja hiyo buku kama sitapelekwa polisi kwa ajili ya huyo teja basi nitapelekwa kwa lingineWana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".
Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.
Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.
Tahadhari sana. Hii siyo joke.
ziyada = ziadaHuwajui mateja, wana akili za ziyada.
Bado siwezi kutoa buku.Hapana, uchunguzi wa awali na "intelijensia" inaweza kuwa ile kuhojiwa tu na polisi kituoni. Sasa wawe kama mia mbili wanangoja kuhojiwa!
Fikiri.
Umechanganyikiwa we kibibi mpaka unakosa chakuandika!!!Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku".
Usifanye ubahili wakati huu kwani ukimuudhi tu na akienda kusema wewe ndiye unamuuzia unga utajiunga na fiesta kule central police station.
Mpe hiyo "buku" na kama hauna japo kamkopee, maana wana hasira kwani ni lazima unga utakuwa adimu mitaani kwa trend hii ya bwana Makonda inavyoenda na arosto waliyonayo, mateja wanaweza kufanya lolote la ajabu.
Tahadhari sana. Hii siyo joke.
Cku hizi mpaka uchunguzi ukamilike na wewe utakua umenyea debe mpaka umechoka bola umpe tu kuepusha makuuBuku sitoi akaseme tu huko Polisi waje kunichunguza kama kweli anafanya hiyo biashara.