Tahadhari: Teja akikuomba pesa mpatie, hachelewi kukusingizia unauza madawa

Hakuna haki ya binadam iliyokiukwa hadi sasa.

Au ipo?
Ipo,vijana wako sero wanasota bila kufunguliwa mashtaka yoyote,kutangazwa kwa majina yao kwenye media,kudhalilishwa,je jamii itawaangaliaje hawa vijana,je wataendelea kuishi maisha yao kama mwanzo,je watalipwa fidia kama hawakukutwa na kosa

Au kwako haki za binadamu ni nini
 
Ndugu ban imeleta masahibu. Tafadhari=Tafadhali
 
zinafatwa = zinafuatwa

Shuleni ulienda kujifunza ujinga?
 
Huna amani leo, kila unachopost lazima kimepinda. Kama una sembe ndani we jisalimishe maana muda si mrefu Bwana Mkubwa atakushtukia kuwa unatetemeka


Sembe mbona nnalo, lipo store tena kwa wingi tu.

Kilo limefika shillingi ngapi mtaani kwenu?

Punguani wahed.
 
Kama sio joke mbona umeileta jukwaa la joke?
 
Sembe mbona nnalo, lipo store tena kwa wingi tu.

Kilo limefika shillingi ngapi mtaani kwenu?

Punguani wahed.
Yes mimi ni punguani, nimepungukiwa penzi lako mama...niridhie tu na akili yangu itakaa sawa. Napenda sana ma-Bi Mkubwa mimi
 
Ushauri mzuri. Ngoja nihame hapa Kino Studio. Wasijesema nina uswahiba na Khalid Mohamed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…