Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

Nilijiongezaga kuchimbia ka HELA ndani nimwendo WA kudroo TU bila SHIDA HII nchi haieleweki muda wowte kinahappen
Ulikosa elimu tu lakini cha ajabu pesa hizo zinapitia bank , na mitandao ya simu kisha unaweka kwenye kibubu
 
Mpesa wanatumia otp kivipi , okay assume umechukua laini ya mtu na kufanya hivyo

Hilo ni kosa la uzembe la mteja huwezi lalama

Kwani fb au insta huwezi fanya hivyo?
sasa fb tunaweka pesa, wee jamaa
 
Unayosema ni kweli.kama hakuna notification ya access ya account yako kwa device nyingine hiyo ni major control failure.Sasa hiv naona kwa voda kama Nida yako ikitumika kusajili line nyingine wewe unapata notification mpaka namba ya nida ya yule aliye sajili.nadhani pia wangeongeza uwe unaweza kuapprove hiyo regiatration kabla haijakamilika. unapata tuu ujumbe ila process inaendelea.so kama ni mharifu anaweza fanya uharifu kabla wewe huja fanya mawasiliano ya kublock no.

Naona airtel wamejitahidi.unaporegister kwa device nyingine unapata otp code unayotumiwa kwenye namba yako ili kuhakiki

Take way

Wanapoendelea kuimarisha kudigitalize finances.ni vizuri pia kuimarisha ma swcurity
Hata vodacom unapata otp unaporegister new device na lazima laini iwe kwenye hiyo simu...
Mtoa mada anataka uzembe wake liwe jukumu la app
 
Kwa hiyo mkuu MTU anaweza ku login mpesa kama ana login sport pesa 🤔.

Mwanzoni zilikuwa vizuri TU, ila naona wamepunguza security measures. Ili sijui kupata wateja wengi

Nmb wako makini sana , kiasi cha kwamba phone Yako ikiwa developer mode, huwezi ku instain nmb app, mpaka u disable developer feature.
Mkuu hili tatizo ninalo simu IPO developer mode hivi hii unaisolve vipi app ya nmb imegoma kabisa kufunguka
 
Na kwnn ukiwa huna Salio jumbe za kitapeli hupati ila ukaweka hata 300k jumbe za kusema tuma kwa jina hili na kupigiwa simu zinakua nyingi mpka sio poa hii imekaaje.
 
Ndiyo shida ya kutumia chat-gpt kuleta andiko, umekurupuka wewe mtoa mada

1. nimei install m-pesa app afresh kabisa toka playstore, kuingia tu ikataka niweke line ya namba nnayosajilia hapo hapo, nikaweka line husika na ikataka niweke PIN
2. Baada ya kumaliza kuseti nikatoa line, kuingia kwenye app ikatuma OTP kwenye ile line niliyotoa, kisha ikataka niweke PIN tena

uzembe wako usisingizie mapungufu ya app

Active futa uzi huu
 
Fanya procedure hizo kwa uweze kulog in kwa sim mbili tofauti afu uje uniambie utaweza vip kulog out of other device uliologin nayo kama huna access na hiyo simu. Kama ni mtumiajia mzuri hata wa whatsapp tu inakupa option ya kulogout all devices.
And wapigie mitandao ya sim waulize kama hawako aware na hii shida.
 
Ndiyo shida ya kutumia chat-gpt kuleta andiko, umekurupuka wewe mtoa mada

1. nimei install m-pesa app afresh kabisa toka playstore, kuingia tu ikataka niweke line ya namba nnayosajilia hapo hapo, nikaweka line husika na ikataka niweke PIN
2. Baada ya kumaliza kuseti nikatoa line, kuingia kwenye app ikatuma OTP kwenye ile line niliyotoa, kisha ikataka niweke PIN tena

uzembe wako usisingizie mapungufu ya app

Active futa uzi huu
And this was a personal expirience,sio kwamba haijatokea kweli hii scenario paka kuieleta hapa, means kuna mtu kashaexpirience. My main point is adding security features especialy being able to force log out all devices i think some few people wamenielewa.
 
Alafu you should remember uzembe wa watumiaji wa applikesheni ndo unasababisha security features ziwepo kama kila mtu angekua perfect kusingekua na haja ya kua hata na password,so one user akiwa perfect it doesnt mean 100user will.
 
app inatuma SMS, kisha ina detect kama SMS imeingia kwenye line husika
fanya research ya kutosha kiongozi kabla kuharibu biashara za w

app inatuma SMS, kisha ina detect kama SMS imeingia kwenye line husika
fanya research ya kutosha kiongozi kabla kuharibu biashara za watu
Wenye biashara waje wakatae hapa kama hawana hayo malalamiko na evidence.
 
Ni kwel kabisa niliwai ibiwa kwa mtandao pesa baada ya kufuatilia na kuwapigia Airtel wakanambia kuna shida kwenye application zao ni rahisi sana kudukua application zao so waknishauri niifute niweke upya, kwel nliifuta ila nikaona ni upumbavu kuidownload upya

Nikabaki najiuliza hawa watu wa mtandao kila sku wanatushauri na kututumia jumbe za kujiunga na application zao ili kufanya miamala kiurahisi ila wameshindwa kulinda application zao wanazozitangaza.

Kwa upande wangu nina imani kabsa hawa watu wa mitandao wanaushirikiano na wezi na matapeli maana ukishaibiwa hawana msaada wwte wa kukuadia

Ila iyo namba ikitumika kumtukana raisi wanaipata na kumpata muhusika ila mimi nikiibiwa pesa zangu hawana msaada wwte wa kukusaidia

Polisi na wamiliki wa mitandao wanashirikiana na wezi uwo ndo ukwel
Ukienda polisi umeibiwa pesa wanakupa makaratasi ujaze zen wanakupa kile kilalarasi chao cha kijinga ila mtu akimtukana mwinguru polisi wanampata na kumshika
 
Ndiyo shida ya kutumia chat-gpt kuleta andiko, umekurupuka wewe mtoa mada

1. nimei install m-pesa app afresh kabisa toka playstore, kuingia tu ikataka niweke line ya namba nnayosajilia hapo hapo, nikaweka line husika na ikataka niweke PIN
2. Baada ya kumaliza kuseti nikatoa line, kuingia kwenye app ikatuma OTP kwenye ile line niliyotoa, kisha ikataka niweke PIN tena

uzembe wako usisingizie mapungufu ya app

Active futa uzi huu
Mkuu humu ndani sikuhizi hakuna watu wanaojielewa kwenye tech.

Chatgpt inawaua sana hapo dogo anaona kashuka nondo balaa
 
And this was a personal expirience,sio kwamba haijatokea kweli hii scenario paka kuieleta hapa, means kuna mtu kashaexpirience. My main point is adding security features especialy being able to force log out all devices i think some few people wamenielewa.
Security feature unazotaka ni hazina maana ndo mana hawajaweka
 
Back
Top Bottom