Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

Kwa upande wangu nina imani kabsa hawa watu wa mitandao wanaushirikiano na wezi na matapeli maana ukishaibiwa hawana msaada wwte wa kukuadia
Sasa mbona unatumia mitandao hiyo , acha kabisa tusikuone hewani. Kama UTAWEZA.
 
Mtoa Mada lengo lako ni nini??

Ni kuichafua kampuni au?

Mbona vitu ulivyoeleza hapo havipo kabisa??

Unakijua vizuri ulichokiwasilisha kweli??
 
Unayosema ni kweli.kama hakuna notification ya access ya account yako kwa device nyingine hiyo ni major control failure.Sasa hiv naona kwa voda kama Nida yako ikitumika kusajili line nyingine wewe unapata notification mpaka namba ya nida ya yule aliye sajili.nadhani pia wangeongeza uwe unaweza kuapprove hiyo regiatration kabla haijakamilika. unapata tuu ujumbe ila process inaendelea.so kama ni mharifu anaweza fanya uharifu kabla wewe huja fanya mawasiliano ya kublock no.

Naona airtel wamejitahidi.unaporegister kwa device nyingine unapata otp code unayotumiwa kwenye namba yako ili kuhakiki

Take way

Wanapoendelea kuimarisha kudigitalize finances.ni vizuri pia kuimarisha ma swcurity
Sio Airtel hata Voda,halotel,tigo wote wako hivyo hivyo
 
Mtoa Mada lengo lako ni nini??

Ni kuichafua kampuni au?

Mbona vitu ulivyoeleza hapo havipo kabisa??

Unakijua vizuri ulichokiwasilisha kweli??
Lengo langu nimelianisha hapo mwishoni vizuri sana,ukiona hujaelewa then ujue your not familier with the matter au sio intended audiance.
 
Uzembe ndo unasababisha security features, ziwepo kama wewe huziihitaji na huzitumii kuna wengine wanazihitaji
Ndio mana nikakwambia wewe unatumia chatgpt na inakupotosha sana especially kwa hii context unahitaji elimu kubwa mno.
 
We hiyo conclusion umeifikia kama nan? Na kwenye issue za cybersecurity una ujuzi gan? Unles useme unatumia uhuru wako wa kutoa maoni.
Iwe Nina ujuzi au Sina hayana maana unless utoe sababu kuu msingi ya Kuwepo hizo feature sababu hata mtoto anaona ni kama unachekesha genge.

Hiyo cyber umesomea wapi YouTube au chatgpt?
 
Fanya procedure hizo kwa uweze kulog in kwa sim mbili tofauti afu uje uniambie utaweza vip kulog out of other device uliologin nayo kama huna access na hiyo simu. Kama ni mtumiajia mzuri hata wa whatsapp tu inakupa option ya kulogout all devices.
And wapigie mitandao ya sim waulize kama hawako aware na hii shida.
Mkuu kila ukifanya transaction lazima App ikuombe password na pia inatuma transaction notification message kwenye line ya mhusika. Sasa kama kuna mwizi amefanya registration na device nyingine wewe mhusika halisi utajua kuna mwizi anachukua pesa kwenye akaunti yako kupitia transaction notification message uliyotumiwa na mtandao wa simu hivyo cha kufanya ni kubadirisha password haraka then huyo mwizi hataweza kufanya transaction tena kwa kuwa hatakuwa na new password uliyobadirisha hata kama device yake itaendelea kuwa on. Hivyo control ni password na transaction notification message.
 
Iwe Nina ujuzi au Sina hayana maana unless utoe sababu kuu msingi ya Kuwepo hizo feature sababu hata mtoto anaona ni kama unachekesha genge.

Hiyo cyber umesomea wapi YouTube au chatgpt?
Kama hujaweza kuona sababu hapo then wewe hii post haikuhusu,na sio kwa ajili yako
 
Mkuu kila ukifanya transaction lazima App ikuombe password na pia inatuma transaction notification message kwenye line ya mhusika. Sasa kama kuna mwizi amefanya registration na device nyingine wewe mhusika halisi utajua kuna mwizi anachukua pesa kwenye akaunti yako kupitia transaction notification message uliyotumiwa na mtandao wa simu hivyo cha kufanya ni kubadirisha password haraka then huyo mwizi hataweza kufanya transaction tena kwa kuwa hatakuwa na new password uliyobadirisha hata kama device yake itaendelea kuwa on. Hivyo control ni password na transaction notification message.
What if muhusika akaendelea kua na account yako akawa anaendelea kuattempt kulogin kwa password ya zawani,one of the security measure ni account kufungiwa ,now ntafanyaje ili huyo user mwingine aweze kutoka kwenye hiyo account?
 
Ukibadirisha password automatically ameshatoka kwenye account yako hawezi kuaccess tena account yako ila IMSI ya simu yake itakuwa inatambulika na mtandao wa simu ndio maana itaendelea kuaccess App lakini siyo account yako. Tofautisha control ya account na device. Control ya device ni IMSI na ya account ni password.
 
Lengo langu nimelianisha hapo mwishoni vizuri sana,ukiona hujaelewa then ujue your not familier with the matter au sio intended audiance.
Umesema kuwa
"Moja ya mapungufu makubwa ya kiusalama yaliyopo kwenye baadhi ya applikesheni za kifedha kama M-Pesa ni uwezekano wa akaunti moja kufunguliwa (login) kwenye simu mbili au zaidi kwa wakati mmoja bila kizuizi au taarifa yoyote kutumwa kwa mmiliki halali."

Hapa umepotosha nikishafungua akaunti kwa simu moja na kulog in nikitumia simu nyingine kulog in katika hiyo m pesa app lazima waniletee OTP kwenye ile namba ya mwanzo nilofungulia akaunti
 
Ukibadirisha password automatically ameshatoka kwenye account yako hawezi kuaccess tena account yako ila IMSI ya simu yake itakuwa inatambulika na mtandao wa simu ndio maana itaendelea kuaccess App lakini siyo account yako. Tofautisha control ya account na device. Control ya device ni IMSI na ya account ni password.
Mimi nakubaliana na wewe na umeeleza vizuri kuwa mtu still atakua na access ya app sasa imagine mtu akawa anajaribu kulogin kwenye app kwa password ambayo tayari umeshaibadilisha ni nin kitatokea kwenye account yako?
 
Umesema kuwa
"Moja ya mapungufu makubwa ya kiusalama yaliyopo kwenye baadhi ya applikesheni za kifedha kama M-Pesa ni uwezekano wa akaunti moja kufunguliwa (login) kwenye simu mbili au zaidi kwa wakati mmoja bila kizuizi au taarifa yoyote kutumwa kwa mmiliki halali."

Hapa umepotosha nikishafungua akaunti kwa simu moja na kulog in nikitumia simu nyingine kulog in katika hiyo m pesa app lazima waniletee OTP kwenye ile namba ya mwanzo nilofungulia akaunti
Kuna sehem kwenye app unaweza kuona ni device ngapi zipolinked na app?
 
Back
Top Bottom