Tahajudi (meditation) imenisadia sana

Tahajudi (meditation) imenisadia sana

Mimi nafanya kama nikitaka kulala lakini kichwa kimejaa.... dakika kumi hazifiki usingizi unakuja.
 
wengine wanasema eti usipepese macho, usimeze mate, yani usifanye chochote zaidi ya breath in and breath out tena very calm. Kuna ukweli hapo mkuu?
 
Ndio kuna kaukweli... we cha kuzingatia fumba macho ili kuepuka disturbance za hapa na pale lkn mate meza kama kawaida.
 
Simple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners
Uongo huo huwezi kukaa sehemu uliyotulia ukiwa peke yako halafu usifikirie chochote ni impossible labda uwe mgonjwa na akili ya mwanadamu haijaumbwa hivyo.
Angalia gunduzi nyingi zilizotokea duniani ni mazao ya kufikiria (imagination) hasa watu wakiwa wenyewe kwenye maeneo tulivu na hapo ndio chanzo cha maarifa.
 
Je,wewe ulishawahii kufanya meditation??
 
Changamoto kuanza wengi tunatamani ila utulivu unakua mgumu pamoja ni mikao yao, hapa labda kuendelea kukomaa tu
 
Simple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners
I'm doing this everyday na nimekweisha zoea sasa naweza kwenda hata masaa mawili, humo ndani ni km movie najua unajua nini kinahappen unapomeditate it's like your dreaming but you're not sleeping
 
Mimi hunishinda clearing ya mind maana huwa najikuta mawazo yamehama nawaza vitu vya hovyo.
 
Back
Top Bottom