Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa hapo nimeelewaYani hapo ulipo kaa kama unapiga magot then unaweka kitu chochote mbele me naekaga mshumaa alaf nazima taa then nauangalia mshumaa na mawazo yAngu yote yanakua hapo
Sawa shukraniOkay anza kufanya utaona matokeo yake.
Ndio kuna kaukweli... we cha kuzingatia fumba macho ili kuepuka disturbance za hapa na pale lkn mate meza kama kawaida.wengine wanasema eti usipepese macho, usimeze mate, yani usifanye chochote zaidi ya breath in and breath out tena very calm. Kuna ukweli hapo mkuu?
Uongo huo huwezi kukaa sehemu uliyotulia ukiwa peke yako halafu usifikirie chochote ni impossible labda uwe mgonjwa na akili ya mwanadamu haijaumbwa hivyo.Simple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners
Je,wewe ulishawahii kufanya meditation??Uongo huo huwezi kukaa sehemu uliyotulia ukiwa peke yako halafu usifikirie chochote ni impossible labda uwe mgonjwa na akili ya mwanadamu haijaumbwa hivyo.
Angalia gunduzi nyingi zilizotokea duniani ni mazao ya kufikiria (imagination) hasa watu wakiwa wenyewe kwenye maeneo tulivu na hapo ndio chanzo cha maarifa.
I'm doing this everyday na nimekweisha zoea sasa naweza kwenda hata masaa mawili, humo ndani ni km movie najua unajua nini kinahappen unapomeditate it's like your dreaming but you're not sleepingSimple ni hii ya kukaa sehemu tulivu na kurelax then unafocus kwenye breath pale unapovuta pumzi in and out apo hutakiwi kufikria chochote clear your mind for 15 up 20 minutes is enough... for beginners