TAHAR SABAR: Mwanadada aliyefanya plastic surgery zaidi ya Hamsini ili Afanane na Angelina Jolie

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Huyo marehemu kafufuka au ni mchoro wa watu wa kale
 
Duniani ujinga hauwezi kuisha
 
Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
 
Inasikitisha.cha ajabu Angelina Jolie Hana hata habari nae
😭😭😭 Umenikumbusha mbali mzee, niliwahi kumpost demu wangu aka-view lkn hakusema chochote bc nkajiona bwege sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…