Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapare tunasubiri majibu kwa hamu.
๐๐๐๐Mkuu, vaa viatu vya michuchumio tu.
๐๐๐Navaa sana lakini wapi๐๐๐๐๐๐
๐๐๐hatari mkuuKatuni iliyo hai๐๐
๐๐๐ila hii comment dah.. ๐๐๐๐
๐๐๐๐Jinga
๐๐๐๐๐ญ๐ญ๐ญ Umenikumbusha mbali mzee, niliwahi kumpost demu wangu aka-view lkn hakusema chochote bc nkajiona bwege sana
Yaan Watanzania huwa tunadanganya na vitu vya kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu, yaani ukienda Google ukatafuta hilo jina lake ukurasa wa kwanza tu unakupa jibu kuwa siyo plastic surgery bali ni photoshop na make up! Msiwe mnaamini kila kitu!WASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
View attachment 1700531
Ilisemekana kwamba alikuwa amebadilisha uso wake kupitia upasuaji wa plastiki kama mara hamsini.
View attachment 1700532
Tabar alihojiwa kwenye televisheni ya kitaifa ya Iran mnamo Oktoba 2019 baada ya kukamatwa kwa mashtaka ikiwa ni pamoja na kufuru na kupata pesa kinyume cha sheria.
View attachment 1700533
Tabar alihukumiwa kifungo cha miaka kumi mnamo Desemba 2020.
View attachment 1700534
ANGELINA JOLIE
DA'VINCI XV
nani mtanzania sasa??Yaan Watanzania huwa tunadanganya na vitu vya kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu, yaani ukienda Google ukatafuta hilo jina lake ukurasa wa kwanza tu unakupa jibu kuwa siyo plastic surgery bali ni photoshop na make up! Msiwe mnaamini kila kitu!
ok asante kwa taarifa๐Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
Kweli mkuu Watanzania wavivu sana, hata kwenda google.com tu inawashinda, kila wanachoambiwa wanaamini.Hii habari siyo kweli, Huyo mdada alifungwa kwa kosa la kuvaa kinyago huko iran hii ilipelekea watu kupaza sauti ya kuomba aachiliwe. Na siyo kweli kwamba alifanya plastic surgery. Hii habari mbona ilikuwa kubwa mwezi January mwaka huu au December mwaka jana.
Watu wengi walikuwa wame-follow instagram walijua ni kweli alifanya mabadiliko ya kubadilisha sura. Ila alivyotiwa kizuizini ukweli ndio ukajulikana.
๐๐๐sawa mkuu na keyword zipo ila sisi ni wavivu๐๐Kweli mkuu Watanzania wavivu sana, hata kwenda google.com tu inawashinda, kila wanachoambiwa wanaamini.
๐๐๐๐ Urefu wa nini tena mdogo wangu..!!si tulikubaliana turidhike na vimo vyetu..au?Hivi hakuna sehemu wanatoa huduma za kuongeza urefu
๐๐๐๐ umewasiliana na Elon musk naskia kuna nauli na ticket na watu wanapimiwa viwanja๐๐๐Mars
๐๐๐๐๐๐๐ Urefu wa nini tena mdogo wangu..!!si tulikubaliana turidhike na vimo vyetu..au?
Ngoja na mie niwahi wallah, ila wee khaaaaaaah lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewasiliana na Elon musk naskia kuna nauli na ticket na watu wanapimiwa viwanja[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wanaoendaga leba inakuwaje wanapewa nanani hao watoto au ni wanapewa misaada๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ukiwa mfupi ndio basi tena hamna pa kuchomokea๐คฃ๐คฃ