Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

Wachaga ni washirikina sana
 
Sisi tuweze kujichanga nyie mshindwe? Mnakwama wapi?
 
Hii picha IPO Facebook tangu novemba 22, 2022, kwenye akaunti moja inaitwa Mumbai wanyoke nadhani ni waganda.
https://www.facebook.com/
 
Afu nyie wakibosho wavuta bangi na Kaka zenu wanachoma watu visu. Pia kumbuka Kilimanjaro Ni machame bana huko kwingine Ni sawa na kwao na vyasaka.
Karibu hapa rombo mkuu,uko wapi saivi wewe kysaka mwenzangu
Kilimanjaro sio machame tu
Rombo,marangu,kibosho pia kuna pigo kubwa
 
Wapi ktk Kilimanjaro hakuna zahanati?
 
Kwa hiyo hizo picha ni za wapi sasa?
 
Wapi ktk Kilimanjaro hakuna zahanati?
Why do you narrow your mind that way.Am talking about Tanzania man. I don't think locally I think globally but I act locally.najua unataka kuleta ligi. Na hii ndio kuwaza kikabila ama kimkoa ndio uliwafanya wachaga wangekiwa wao ndio Wana raisi wa kwanza. Sema Marealle kule UN akadai Uhuru wa kaskazini badala ya Uhuru wa Tanzania nzima.

Mie huwa naumia niliona sehemu yoyote Tanzania unazo huduma mbovu na duni na huku watu wakinunua gari la kutembelea la 600M.
Mtu anasaini mktaba wa software wa bilioni 69 na huku Kuna sehemu wanatunzi wanakaa chini mie kwangu am sick hijalishi kuwa Ni wapi.
 
Kwa jinsi ninavyofahamu Narumu ni kijiji cha ndani ndani huko kwahiyo kuwekewa lami wakati kutoka Sumbawanga kwenda Kalambo hakuna lami sio sawa. Waache ubinafsi kwasababu barabara ya kutoka Njiapanda (machine tools) hadi geti la Kinapa kuna lami.
Nyie endeleeni kudai hiyo barabara yenu kutoka Sumbawanga kwenda Kalambo na wao waacheni wadai barabara yao ya kijiji kuwekwa lami, yaani kiufupi kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…