chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wachaga ni washirikina sana
Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami.
viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta swala hilo ni la uzushi.
Diwani wa kata hiyo Mh. Fredrick lengai ambae nae alikuwa katika msafara huo amesema ni kweli barabara hiyo ilihaidiwa Lami lakini hadi sasa imekarabatiwa kwa kuwekwa maramu