ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel.
Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni.
Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni kufanya kazi pamoja na Wanadamu. Jambo lolote hapa duniani Mungu hutumia Wanadamu.
Maugunduzi yote hapa duniani, Mungu alitumia Wanadamu kama Newton, Einstein, Galileo, Archimedes, Edison nk. Kwa kutumia Wanadamu Hao, Mungu AMETULETEA maendeleo mengi tu. Hayakushuka tu kutoka juu.
Hata Taifa LA Israel ni hivyo hivyo. Mungu hutumia mataifa ya MAREKANI na Ulaya kulilinda taifa LA Israel kwa sababu maalum.
(2wakorinto 6:1)