Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

Mungu analinda Watu wanaovunja na kuyatukana Jina na makanisa yake!??
Mungu gani huyo?
Wakristo ni noma huwa nikiwambia wana kasirika lakini ukweli ni huo, ukristo ni uharo mtupu binadamu kwao ni Mungu. Taifa dhaifu kama Israel wao wanasema taifa la Mungu. Taifa la Mungu wao linaomba nchi za kiarabu zimsaidie 😄 Taifa la Mungu linambembeleza Iran asilipige

Na angalieni utumbo G7 wanaomba Iran asimpige Israel, sa yeye kama Jeuri anajidai ni Super power kwanini anatafuta shari na Iran
 
Ushiawahi kuona marekani anajitolea bila kunufaika... israel ni kama ubongo wa wamarekani.. fuatilia vizuri kina nani huko US wanafanya vumbuzi mbalimbali hasa kwenye silaha na medicine
Silaha na medics kuna hadi Chinese na Indians wanaongoza kwa vumbuzi.
Tena aliyefanya mapinduzi ya medics pale USA ni mwanamama wa Kichina ukitaka nakuletea HISTORIA yake hapa.
Huyo Israel ni kama mlinda maslahi ya wakubwa hapo middle east.
 
Hao wayahudi sindio walimsulubisha huyo mungu wenu halafu huyo huyo mungu aliebondwa anawalinda Tena hao basi huyo mungu anaupendeleo hatufai
mungu wao alisha wasamehe pale yesu alipo sema baba uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo ndio mana hatakatika msafu unapata allah anasema walineemeshwa kuliko walimwengu wote myahudi umuwezi anamaagano ya moja kwa moja na yehova mungu wa kweli ndio mana pia hata manabii wengi katika msafu ni wametokana na wao.
 
Silaha na medics kuna hadi Chinese na Indians wanaongoza kwa vumbuzi.
Tena aliyefanya mapinduzi ya medics pale USA ni mwanamama wa Kichina ukitaka nakuletea HISTORIA yake hapa.
Huyo Israel ni kama mlinda maslahi ya wakubwa hapo middle east.
Unaongelea mambo ya juzi 2000+ hapo...
Angalia zamani kidogo kina nani wamekutibu na kukukinga mfano hio ndui mkononi kwako, asprin, pacemakers, genetic engineering, kutibu syphilis (hii bacteria ilikuwa kimbembe ilivyoingia)etc..
Hao uliowataja wamekuta myahudi kashiaweka misingi wamefanya kuendeleza tu..
Hapo kwenye silaha ndio usiguse kabisa, mmarekani anampendea israel kwasababu ya akili yake.. hio iron dome mmarekani kapiga saluti.
 
Mkuu unataka kubisha nini!?
Sizungumzii miaka ya 2000 nazungumzia miaka ya nyuma sana.
Aloleta mapinduzi katika masuala ya medics hapo US ni mwanamama asili ya kichina.
Myahudi hajawahi kuwa mzuri katika masuala ya medics kamwe.
Medics hapo US hata UK ni sana sana Wahindi na wachina.
Kama unabisha tukuletee ushahidi hapa.
 
Mi nimekupa mfano mdogo tu wa hio ndui (polio vaccination) uliopigwa ili usipooze ni ya myahudi.. Dunia nzima inanufaika mpaka leo..
Medical invention gani kubwa kama hiyo iliotolewa na mchina? Myahudi muache tu
 
Myahudi hajawahi kuwa bora katika ulimwengu wa medics.
Pharmaceuticals evolution USA ilifanywa na Mchina.
Na duniani China ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza katika tafiti za medics kwa sasa.
Myahudi wako hata top 5 hayupo.
 
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel.
Na wewe ndio unajiona una maarifa kuliko hao watu ?

Kwahio huyo Mungu wa Waisrael wewe Mungu wako yupo wapi au na wewe ni muIsrael ? Na wakati Ma Jews wanakula kibano na Hiltler au kwa tabia zao za kina Merchant of Venice na kupelekea antisemitism popote walipokuwa mlinzi wao aliwasahau ?
 
Back
Top Bottom