Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
- Thread starter
-
- #41
Wewe ni mtumishi feki,vyeti feki unakula usichopanda bado unadai haki,ni haki gani hiyo unayoidai?Mimi nilifurahi sana alipofariki kwasababu yule mjinga alininyima haki zangu za kiutumishi kwa miaka 6 ambazo zipo kisheria.
Akitajwa Magufuli mishipa ya matacore yako huwa inakucheza ?Kifo cha Magufuli = Good riddance to bad rubbish.
That does not mean nasifia uongozi wa sasa.
Ni bora shetani tunakemea kuliko waja.Kama ni hivyo,hata shetani apendwe.
Nyerere alipokufa watu waligawanyika ?Hakuna mtu yeyote hapa Duniani anaweza kupendwa na watu wote.
Hakuna mtu yeyote hapa Duniani anaweza kupendwa na watu wote.
Tuna Rais ambae wanaomkpsoa anawaita MAADUI zakeBaada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Nadhani wewe ndiye mjinga sana na utakufa kama mende na hakuna hata wa kujali. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa haonei mtu alikuwa mtu wa haki bin haki, kwa sababu ya kauli yako hii uendelee kulaaniwa na hiyo dhambi ilikufanya ukanyimwa haki iendelee kwa vizazi vyako mpaka wakitubu.Mimi nilifurahi sana alipofariki kwasababu yule mjinga alininyima haki zangu za kiutumishi kwa miaka 6 ambazo zipo kisheria.
Kama ni wa juzi, utakuwa hujuiNyerere alipokufa watu waligawanyika ?
Mkapa je?
Mie zizungumzii kupendwa na watu wote
Una akili za hovyo sanaPolepole kujiuzuru:
➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi...
➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili sasa. La kwanza ni miaka ya 1960s ambapo Christopher Kassanga akiwa balozi kule Uingereza, alitofautiana na Rais Hayati Mwl Julius K. Nyerere miezi mitatu baada ya uteuzi wake na hivyo akaona hataweza kufanya kazi naye, hivyo akabwaga manyanga...
➡ Aidha Ili kulinda taswira ya nchi, kulitokea tukio jingine linalofanana na hili miaka ya 1980s. Hayati Rais J. K. Nyerere walitofautiana na Waziri wake wa fedha wakati huo Edwin Mtei (Baba mkwe wa Freeman Mbowe) juu ya kukubaliana au kukataa masharti ya na sera za IMF na WB juu ya kuipatia Tanzania mkopo wa fedha ili kuimarisha uchumi wake mara baada ya kutoka ktk vita vya Tanzania na Uganda maarufu kama vita vya Kagera 1978/79...
➡Nyerere hakukubaliana na masharti ya WB na IMF kupunguza thamani ya shilingi ili Tanzania ikopesheke. Waziri wake Edwin Mtei, alikubaliana na sharti hilo. Kwa tofauti hizo, ikaonekana kuwa Waziri hawezi kufanya kazi pamoja na boss (Rais) wanayetofautiana naye...
➡Ili kulinda taswira (image) ya Rais na nchi, ilibidi Edwin Mtei ajiuzulu uwaziri na sbb zilizotolewa ni za kiafya lakinI ukweli ulijulikana baadaye sana kuwa sababu haikuwa hiyo bali ni kutofautiana kisera na boss wake Rais Nyerere..
➡Hili la Humphrey Polepole ni jiwe la kushitukiza. Sio la kawaida na linaharibu taswira si tu ya Rais Samia bali ya nchi kwa jumla ktk diplomasia ya kimataifa. Hakuna crisis management ndani ya serikali ya Rais Samia. Ni mwendo wa kuviziana tu na kupigana marungu...
➡Haya marungu lazima yawafurushe baadhi toka kwenye nafasi zao. Bila shaka unabii wa mtumishi wa Mungu Steven Jacob Gumbo toka Arusha juu ya kijana huyu Humphrey Polepole👇🏻👇🏻 unaenda kutimia. Labda ndiye PM au Minister For Foreign Affairs ajaye huyu chini ya Rais Josephat Mathias Gwajima au Tundu Lissu
Mm siyo wa juzi .ila nakwambia JPM alipokufa WATU wa TANZANIA 🇹🇿 Waligawanyika makurdi MAWILI.Kama ni wa juzi, utakuwa hujui
Shenzi kubwa lile shetani lenu la Chato.Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Lile shetani lenu la Chato ndo lilomharibu hata SlowslowHayati Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee mwenye uthubutu, mzalendo wa kweli, na mtendaji asiyeogopa changamoto alisimama kidete kwa ajili ya maslahi ya taifa, akapambana na ufisadi, uzembe na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
Kuna msemo usemao nyayo za tembo hazifutwi kwa ufagio.
Uongozi wa Magufuli umeacha alama kubwa alama ambazo zitabaki kuwa kipimo kwa kila anayekuja.
Kila kiongozi mpya atalinganishwa naye, kwa sababu aliweka viwango vya juu katika utendaji na uwajibikaji.
Magufuli ALIPORA KOROSHO ZA WATU HUKO KUSINI.( Huku siyo kuonea)Nadhani wewe ndiye mjinga sana na utakufa kama mende na hakuna hata wa kujali. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa haonei mtu alikuwa mtu wa haki bin haki, kwa sababu ya kauli yako hii uendelee kulaaniwa na hiyo dhambi ilikufanya ukanyimwa haki iendelee kwa vizazi vyako mpaka wakitubu.
Hata wewe ukifa watu watagawanyika katika makundi matatu. Kusikitika, kufurahi na gudegude (wapo kati kati). Hata Nyerere alipokufa kuna waliofurahi mfano familia ya Kambona. Mkapa kunawaliofurahi, familia ya Lowassa etc. Magu kuna tuliosikitika hadi kesho na nyie mliofurahi ila kuna wengine walikuwa wapo wapo tu. Huu ni ubinadamu na inategemea ulikuwa kundi lipi. Never generalise in life kwani kuna wakati ule waliofurahi lakini sasa wanaona ukweli na wamebadilika etcMm siyo wa juzi .ila nakwambia JPM alipokufa WATU wa TANZANIA 🇹🇿 Waligawanyika makurdi MAWILI.
Walioshangilia/kufurahia vs Sikitika/ huzunika.
Hili halikuwa jambo la kawaida na halihitaji nguvu nyingi kulibaini
Hasara ya kupoteza muuaji??Tulipata hasara ya kiwango cha sgr
Kelele za chura hizoUpdates... Polepole
Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu
"Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."
Shenzi kubwa lile shetani lenu la Chato.
Mungu na aliue tena. Tulishaanza kulisahau af we unakuja kutukumbusha machungu hapa
Yupo motoniHasara ya kupoteza muuaji??
Unachokifanya hapa ni kuongeza MAELEZO TU. Yote hayo yanajulikanaHata wewe ukifa watu watagawanyika katika makundi matatu. Kusikitika, kufurahi na gudegude (wapo kati kati). Hata Nyerere alipokufa kuna waliofurahi mfano familia ya Kambona. Mkapa kunawaliofurahi, familia ya Lowassa etc. Magu kuna tuliosikitika hadi kesho na nyie mliofurahi ila kuna wengine walikuwa wapo wapo tu. Huu ni ubinadamu na inategemea ulikuwa kundi lipi. Never generalise in life kwani kuna wakati ule waliofurahi lakini sasa wanaona ukweli na wamebadilika etc
Hakuna mtu alishapendwa na wote au kuchukiwa na wote hapa duniani. Huo ndiyo ukweliUnachokifanya hapa ni kuongeza MAELEZO TU. Yote hayo yanajulikana
Hoja yangu ni kwamba mtu tuliyeambiwa anaprndwa na atakuwa kiongozi wa MALAIKA Mbinguni?
Watu wanagawanyikaje akifariki??