Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Watanzania wenzangu kifo cha Magufuli kiliniuma mno, nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile, niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu JF juu ya kifo cha Membe zimenitisha mnooooooo, Watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki kali namna hii!!! Naomba turudi kwenye mstari, utanzania wetu unaporomoka kwa kasi mnoooo, hii ni hatariiiiii, nasema kwa kinywa wazi ni hatariiii.
 
Nasoma na sielewi ulicho andika.....

ASSUMPTION 😉😉

UMEJAA ASSUMPTION 😉 KUNA WATANZANIA WENGI HAWAJUI HATA KAMA MB AMEAGA DUNIA!!
 
Naomba uniletee uzi wako unaoonyesha kuwa, uliandika Kama hivi wakati wa msiba wa JPM.
 
Ni haki yao kushangilia, zamu kwa zamu, ukiumiza utaumizwa!![emoji1745]. Japo sipendi hii tabia ,bt waache nao washingilie mioyo yao angalau ipone!!
 
... Siasa za kikatili na chuki alizianzisha Magufuli.

... Na zitaondoka kukiundwa Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.
 
Shangilieni tu ni jadi yenu, lakini hakika kifo cha Magufuli ilikuwa faraja kubwa kwa Taifa hili
Ahaa kumbe bado mnaendelea sawa subiri kifo kije kubisha hodi kwako mimi najua kifo cha Magufuli kulikuwa faraja kwa mafisadi, wezi, walamba asali, majizi, wauza madawa ya kulevya, wafanyabiashara wa siasa wanajitafutia kipato kwa njia ya halali na isiyo halali
 
Hii michezo mlianza wenyewe kufurahia kifo cha rais wetu kipenzi Magufuli mkamwita mwendazake hakuna kiongozi hata mmoja aliyewahi kukemea hii tabia
True waliomsimanga marehemu kama makamba nape ndo waliongozewa vyeo na kupewa uwaziri hata siku moja mama hakuwahi mukemea haya maaana yake alibariki haya
 
  • Nahisi matatizo yalianza 2015 kwenye kumchagua mgombea.
  • Mungu asaidie isije kuwa kama ya kwenye wanamuziki wa Reggae pale kusini
 
Walipomuua na kushangilia kifo cha Rais wetu kwa kujipongeza waziwazi uliandika uzi? Tulia tudondoshane sasa
 
..siasa za kikatili na chuki alizianzisha Magufuli.

..Na zitaondoka kukiundwa Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.
Wewe ndio hauelewa Magufuli aitaka kuirudisha nchi hii mikononi mwa wananchi kutoka kwa wanyonyaji masisiem ndio maana maadui wengi ni ikutoka huko CCM sasa CCM wakawa na chuki kali kutoka kwake
 
Sukuma Gang nyie hamna faida yoyote kufeni tu wauaji wakubwa nyie rudini kwenu Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…