Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Mimi naomba hapa leo mnieleweshe.

Hivi kifo ni adhabu au ni mapumziko ya mabalaa ya dunia?

Maana siku moja nilipata ajali mbaya ya pikipiki nikazima zaidi ya saa 1 nikazinduka, nikazima tena mara ya pili kama masaa nikazinduka. Baada ya mwaka mmoja na mwezi mmoja nikapata ajali ya pili nikazima kama masaa 6. Nikapata ajali ya tatu nikazima tena masaa kadhaa (hapo sikuambiwa masaa mangapi). Nilichoexperience ni kuwa ukizima huhisi maumivu wala tabu za aina yoyote ile, na huwazi ada wala kodi ya nyumba wala hela ya kubeti. Nikafikiria kama kuzirai ndo amani namna ile, je ukifa? Si ndo burudani kabisa.

Tangu pale niliwaambia wanaoniwinda na wanaosubiri kushangilia nikikata kuwa kifo kwangu si adhabu, ukiniua umenipumzisha na mabalaa, isipokuwa tu umewaumiza wategemezi wangu. Huwa ninahofia nitakufaje ila si nitakufa. Ninapojilinda kipaumbele changu kikuu ni wategemezi wangu. Nikishakufa hakuna lolote ninalojua na majanga ya dunia hayatonihusu tena.

Sasa huwa sielewi nikiona watu wanasherehekea kifo cha mtu, ilhali naona dunia imejaa tabu tupu, na maandiko yanasema maisha ni ubatili mtupu, yamejaa masumbuko na huzuni hadi kuingia mavumbini.

Au huwa kuna viboko mfululizo huko mautini ndo maana watu hushangilia mtu atachapwa huko?

Na je, katika dunia ya kwanza mambo haya yapo au ni laana za umasikini tu zinatusumbua?
 
Magufuli alianzisha lini huo uchafu, nyie mlitengeneza chuki kwa Magufuli mkamzushia kila baya baada ya kuziba mirija yenu ya uwizi na upigaji
Kipindi cha Magufuli, wapinzani walipitia wakati mgumu tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.

Fikiria jinsi nusu ya wajumbe (Mbowe, Mwalimu, Mdee, Msigwa, ...) wa CC ya Chadema walivyoshtakiwa na kufungwa uonevu.

Fikiria wanachama na wafuasi wa Chadema zaidi ya 400 waliokuwa mahabusu kwa tuhuma za kutungatunga.

Usiwasahau wengine kama Mdude Nyagali, Ben Saanane, Akwilina Akwilini, Alphonce Mawazo, Roma Mkatoliki, ambao ama waliteswa au waliuawa kutokana na siasa za kikatili za utawala wa Magufuli.

Wakati yote hayo yakitokea, kuna genge lilikuwa linashangilia na kuzodoa yeyote aliyeupinga utawala wa Magufuli.

Hata wahanga wa matukio mabaya walikuwa wakichekwa, wakikejeliwa, wakizodolewa na genge la Magufuli.

NB: Bila kusahau kampeni mbaya za 2015 za kumdhalilisha Lowassa kwamba ni mgonjwa na amejisaidia haja kubwa katika jukwaa la kampeni.
 
Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Walilianzisha wao, kumkejeri Magufuli alipokufa, wakadai Mungu kaamua ugomvi, wakasema wazuri hawafi, wakasema wanao mpenda Magufuli wakazikwe naye. Walifanya tambo, mara tukaambiwa bahari imetulia.

Nilisema humu na nitaendelea kusema yajayo ni makubwa tusubiri. Mungu hapangiwi. Kama mbwayi na iwe mbwayi. Tukiwasihi watu wanyamaze wanasema wana haki ya kuongea. Ok, ongeeni sasa.
Kuna siku nchi hii itatetemeka kwa tukio kubwa.

Hili naliongea kwa jicho la kiroho na si la uanadamu.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwa nini unasema chama changu badala ya kusema Chama Chetu?

Kuombeana matatizo ni sehemu ya maisha ya wasaka madaraka. Wasaka madaraka wapo tayari kumuua mtu ili yeye akae kwenye kile kiti!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Lawama zote kwa jiwe
 
Magufuli ndiye alipandikiza hii roho ya visasi na hii ni typical roho ya kihutu, si tunakumbuka wote wahutu walivyoua watutsi zaidi ya laki tisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo Magufuli aliongoza kushangilia kifo chake mwenyewe? Aloooo kweli wazuri hawafi
 
Mimi naomba hapa leo mnieleweshe.

Hivi kifo ni adhabu au ni mapumziko ya mabalaa ya dunia?

Maana siku moja nilipata ajali mbaya ya pikipiki nikazima zaidi ya saa 1 nikazinduka, nikazima tena mara ya pili kama masaa nikazinduka. Baada ya mwaka mmoja na mwezi mmoja nikapata ajali ya pili nikazima kama masaa 6. Nikapata ajali ya tatu nikazima tena masaa kadhaa (hapo sikuambiwa masaa mangapi). Nilichoexperience ni kuwa ukizima huhisi maumivu wala tabu za aina yoyote ile, na huwazi ada wala kodi ya nyumba wala hela ya kubeti. Nikafikiria kama kuzirai ndo amani namna ile, je ukifa? Si ndo burudani kabisa.

Tangu pale niliwaambia wanaoniwinda na wanaosubiri kushangilia nikikata kuwa kifo kwangu si adhabu, ukiniua umenipumzisha na mabalaa, isipokuwa tu umewaumiza wategemezi wangu. Huwa ninahofia nitakufaje ila si nitakufa. Ninapojilinda kipaumbele changu kikuu ni wategemezi wangu. Nikishakufa hakuna lolote ninalojua na majanga ya dunia hayatonihusu tena.

Sasa huwa sielewi nikiona watu wanasherehekea kifo cha mtu, ilhali naona dunia imejaa tabu tupu, na maandiko yanasema maisha ni ubatili mtupu, yamejaa masumbuko na huzuni hadi kuingia mavumbini.

Au huwa kuna viboko mfululizo huko mautini ndo maana watu hushangilia mtu atachapwa huko?

Na je, katika dunia ya kwanza mambo haya yapo au ni laana za umasikini tu zinatusumbua?
Mbona jibu ushatoa btn the lines? Tunashangilia maumivu ya waliobaki ili waone uchungu wanaopata wapendwa wa JPM. Huo mzoga hamna mwenye shida nao kwanza hausikii kitu sasa ngondo kwa waliosema wazuri hawafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nje ya mada, hivi hua kunaulazima gani kuandika uzi kisha namba ya simu...[emoji848] Yaani, unaandika namba ya simu ili nini kiwe...[emoji47]
Baada ya neno ni muda wa kukusanya sadaka Mkuu,

Kama uko karibu na kibanda Cha mpesa we fanya tu kama unaingiza mkono mfuko apate ya Pepsi baridiiii asuze Koo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona jibu ushatoa btn the lines? Tunashangilia maumivu ya waliobaki ili waone uchungu wanaopata wapendwa wa JPM. Huo mzoga hamna mwenye shida nao kwanza hausikii kitu sasa ngondo kwa waliosema wazuri hawafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnasherehekea maumivu ya wategemezi wake au wafuasi wake wa kisiasa? Maana hayo ni makundi mawili tofauti. Be specific.

Yaani ni sawa na kifo cha Magu mtu awazomee watoto na mkewe wakati hawakujihusisha kwenye hizi ligi zenu za kipuuzi.
 
1683911042463.png
 
Back
Top Bottom