Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Taifa la washangilia Misiba na Visasi

wewe mpumbavu sana sukuma gang ni taifa au kabila kubwa tanzania wasukuma wapo mikoa 5 wapo zaidi ya million20 wewe mchaga una kamkoa kamoja kabila halizidi watu laki 3 unajilinganisha na wenye nchi wapo mikoa yote

Huyo Mpemba huyo
 
Membe yupo mikononi mwa Magufuli sasa hivi. Mungu awapunzie adhab za kabri hawa watu
 
MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji120][emoji120][emoji120]
 
wewe mpumbavu sana sukuma gang ni taifa au kabila kubwa tanzania wasukuma wapo mikoa 5 wapo zaidi ya million20 wewe mchaga una kamkoa kamoja kabila halizidi watu laki 3 unajilinganisha na wenye nchi wapo mikoa yote
Wacha upumbavu wewe mhutu, sukuma gang ni kakikundi kadogo ka wafuasi wa Magufuli,mimi ni Msukuma lakini sikuwahi kuvutiwa na siasa za kiwenda wazimu za JPM.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ngoja tu..
Subiri tuone..
 
Back
Top Bottom