Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Taifa la washangilia Misiba na Visasi

mawaziri wakubwa na viongozi wa nchi wameanzisha iyo kitu,mara wazuri awafi,mara Mungu kaamua ugomvi.

tusipangiane kila mtu ashike upande wake wa kushangilia vifo vya viongozi, kwasababu hao viongozi wenyewe nao wanashangilia vifo vya wenzao.

wanakula vizuri,wanalindwa vizuri ,wanabima za afya,wanatibiwa Ulaya ,wanamadaktari binafsi lakini bado kwenye miili yao wanamagonjwa mengi na hawaponi yanawatesa mpaka kifo.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Na Bado Kuna mtu .......
 
Kinachofikirisha zaidi ni kwamba waliojitokeza kufurahia kifo cha Magufuli hadharani ni viongozi wa CCM (Diallo, Nape, Makamba, n.k.).

Upande wa CHADEMA waliosherehekea ni mashabiki mitandaoni na mitaani sio viongozi wa chama. Sikumbuki kusikia Mbowe, Mnyika, Mwalimu, Mdee, n.k. wakitangaza hadharani kufurahia kifo cha Magufuli. Hata Lissu ilikuwa zaidi katika kulalamika aliyotendewa na kudai haki zake. Si katika kufurahi kwamba Magufuli kafa.

Aliyefariki leo ni kada mwandamizi wa CCM tena aliyempa kudos Magufuli 2015 kwa utendaji wa hali ya juu kabla hajabadilika 2017.

Ajabu sasa wapenzi wa Magufuli wamefurahi kufa kwa Membe na wanaonyesha kwamba furaha yao itavuka Mpaka Mbowe akifa! In fact, walikosa raha sana Lissu alipo-survive ile mvua ya risasi na kubaki na akili zake timamu! Bila shaka hadi leo wanatamani sana na kuombea wakati wowote Lissu adondoke njiani au agongwe na gari na “kufilia mbali”.

Kifupi, hatuna taifa wala hakuna kinachoitwa umoja, utamaduni na maadili ya kitanzania. Ni ulaghai tu. Ni kusanyiko la wababaishaji, wazembe, na wanafiki wakubwa. Ndio maana wageni wanaichezea nchi hii wanavyotaka. Viongozi wanaifuja kwa mbwembwe kama zote wakisaidiwa na maelfu ya machawa na makundi ya kimafia.

Labda wenzetu Wazanzibari angalau wanaweza kudai kuwa wana taifa. Wana some sense of nationhood. Sio bara au Tanganyika.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wewee😂😂😂 njoo msibani tule maandazi ya bure acha wenge.
 
Jamani membe Kawa mwendazake tyr duuuh ila kunawatu watakuja kuzikwa nawe usijali
 
Walifkr watu tulifurahia kifo cha mwamba chenye utata , watu tuna chuki kali moyoni bas tuu, walivyo mafala wakawa wanashangilia na maneno ya dharau live live , ma_mae nataman hlo genge lote Mungu ashushe hata gharika life loteee yakaoze hukoo , maiti zao zipewe ndege wale... Bado wale watatu sidhan kama watatoboa 2025
Kabisa mkuu

Leo ndiyo wanahubiri tuache chuki, wakati walikuwa wanafurahia kifo cha rais magufuli awakuliona hili
 
Majizi na makatili ya CCM yanazidi kukata kamba. Kukaa madarakani bila ridhaa ya umma itakuwa ndio kaburi cha hilo chama la majizi ya kura. Kila akiaga mmoja wa chama cha majuzi ya kura kwetu ni shangwe kubwa sana.
Majizi wazazi wako wewe shoga!
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

Nani kasema sisi humu ni wanachama Wenzio, hebu tutake radhi bhana.
 
Tatizo kubwa ni rais Dkt Samia. Yeye badala ya kuelekeza vyombo vyake vya ulinzi na usalama kukemea kebehi zidi ya hayati Dkt Magufuli aliachia hizo kebehi na dhihaka mpaka kwenye mkutano wa CCM na kwenye baadhi ya mikutano ya CCM. Kinachotokea leo kuiya mwili wa ndugu yetu comrade Membe ni mzoga ni muendelezo wa kulipiza kisasi wale waliosema wema hawafi, Mungu kaamua ugomvi, kazikwe naye Chato etc. Sijui siku ikitokea rais Samia kafiwa hakika watu watatukana sana tena sana.

Kwa ufupi rais Dkt Samia alidanganywa sana kudhani Dkt Magufuli alichukiwa hivyo aruhuhu tu dhihaka eti watu wamalize hasira hapa hilo ni kosa na linaendelea kuwa makosa na matokeo yake ndiyo haya. Nadhani muda Dkt Samia bado anao, akemee hizi kauli mara moja na kwenye social media dhihaka kwa Dkt Magufuli zikome. Maana kuna watu siku wakifa sijui itakuwaje.

Kama taifa hakika tumepotoka sana. Uzuri Rais Dkt Magufuli enzi zake alipiga marufuku kumdhihaki JK, same hata JK enzi zake alipiga marufuku kumdhihaki Mkapa ila kwa rais Samia ajabu mpaka anaenda kufadhili kitabu cha kumchafua Dkt Magufuli akidhani anajiandalia kujizolea kura nyingi kumbe ni kujichafua. Yaani kwa ufupi Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila lile kundi baya limemteka sana kiasi kwamba linamfanyia maamuzi.
Aliyeanzisha dharau na kebehi kwa viongozi waliotangulia ni Magufuli mwenyewe. Mkapa hakuwahi kumdharau wala kumkebehi Mwinyi licha ya mapungufu aliyoyafanya Mwinyi. Kikwete halikadhalika. Ila Magufuli sasa.

Yeye ndiye aliyefanya kila kitu nchi hii kuanzia barabara, viwanda, madaraja shule, hospital, umeme kaleta yeye, maji kaleta yeye, yaani kila kitu kila kitu. Kajenga hostel za mlimani na kashfa juu utadhani alikuwa hajui kama mtangulizi wake kajenga full chuo cha UDOM. In short, uliyesema hapa, muanzilishi na Magufuli sio Samia.
 
Hata mie nimeshangaa sana hii hali. Aisee nimegundua Taifa limegawanyika sana. Kauli za mzaha mzaha kama zile watu wazuri hawafi Leo zinatumika kijinga kufurahia mauti ya Mzee Membe
Nilikua nasoma comments instagrt nikaona wengi wanakumbusha hiyo ya wazuri hawafi. Makamba alifanya kosa kama alifikiri watanzania wengi wanamchukia Magufuli basi akikosea Sana, siku akifa watu watamkumbusha hiyo kauli yake
 
Back
Top Bottom