Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Membe yupo mikononi mwa Magufuli sasa hivi. Mungu awapunzie adhab za kabri hawa watu
Wewe ulishiriki kuziunda hizo adhabu za kaburi? Na kama zipo kweli una hakika gani wanahukumiwa mpaka useme wapunguziwe adhabu?
Usitumie kichwa kama jumba la makumbusho la kuhifadhi nywele.
 
Kwanini tukemee Leo na siyo kipindi cha hayati Magufuli?

Tuweke kumbukumbu vizuri kuna watu walipiga picha zake anaagwa pale Taifa, na kukejeli kama aliyekufa ni mnyama.

Kwanza muombe familia ya Magufuli msamaha na kauli ya yule mzee asiyejielewa ifutwe kwamba wazuri awafi
 
Yani watu wamesahau waliyoyafanya sasa hivi wanalialia wanataka tulie nao 😊
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ulikemea waliposhangilia kifo cha JPM? Watu wanashangilia kifo cha Amiri Jeshi Mkuu wazi wazi halafu viongozi waliokuwa wasaidizi wake wanakaa kimya. Mlitegemea nini? Waliset precedence mbaya sana.
 
Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Mkuu,

Mungu ameamu ugomvi
 
Wakati wa JPM mlilijua hilo au ndo mmelijua sasa
Kwanza kwa kumbukumbu tu mimi sio wa huko wala sijui mbio za maisha yenu na huyo mzee mda wake ulifika ingawa tulikuwa umri sawa.

Tatizo lenu kila anaechangia humu ni wa huko
Wengine tuko Dhaka
 
Dunia hii kila anapokufa mtu kuna watu watafurahi na kuna watakaohuzunika. Kama aliyefariki alikuwa mtu mbaya wengi watafurahi. Na kama alikuwa mtu mzuri wengi watasikitika. Magufuli aliua watu kwa makusudi ndiyo maana wengi walifurahia kifo chake.
Hao wengi waliofurahia ni wepi? Acha kujizima data wewe, wale wote waliopaza kilio nyakati zile na mpka Leo mtaani analiliwa walikuwa mawe?
 
Kwanini tukemee Leo na siyo kipindi cha hayati Magufuli?

Tuweke kumbukumbu vizuri kuna watu walipiga picha zake anaagwa pale Taifa, na kukejeli kama aliyekufa ni mnyama.

Kwanza muombe familia ya Magufuli msamaha na kauli ya yule mzee asiyejielewa ifutwe kwamba wazuri awafi
Walifkr watu tulifurahia kifo cha mwamba chenye utata , watu tuna chuki kali moyoni bas tuu, walivyo mafala wakawa wanashangilia na maneno ya dharau live live , ma_mae nataman hlo genge lote Mungu ashushe hata gharika life loteee yakaoze hukoo , maiti zao zipewe ndege wale... Bado wale watatu sidhan kama watatoboa 2025
 
to be honest Mimi ni mmojawao. na ni maombi yangu wale wote waliomsumbua na kufurahia kifo Cha magufuli wakakufe wote hata saa hii.
Kushangilia au kutoshangilia kifo cha mtu hakubadili chochote katika wewe kufa.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Tatizo kubwa ni rais Dkt Samia. Yeye badala ya kuelekeza vyombo vyake vya ulinzi na usalama kukemea kebehi zidi ya hayati Dkt Magufuli aliachia hizo kebehi na dhihaka mpaka kwenye mkutano wa CCM na kwenye baadhi ya mikutano ya CCM.

Kinachotokea leo kuiya mwili wa ndugu yetu comrade Membe ni mzoga ni muendelezo wa kulipiza kisasi wale waliosema wema hawafi, Mungu kaamua ugomvi, kazikwe naye Chato etc. Sijui siku ikitokea rais Samia kafiwa hakika watu watatukana sana tena sana. Kwa ufupi rais Dkt Samia alidanganywa sana kudhani Dkt Magufuli alichukiwa hivyo aruhuhu tu dhihaka eti watu wamalize hasira hapa hilo ni kosa na linaendelea kuwa makosa na matokeo yake ndiyo haya.

Nadhani muda Dkt Samia bado anao, akemee hizi kauli mara moja na kwenye social media dhihaka kwa Dkt Magufuli zikome. Maana kuna watu siku wakifa sijui itakuwaje. Kama taifa hakika tumepotoka sana. Uzuri Rais Dkt Magufuli enzi zake alipiga marufuku kumdhihaki JK, same hata JK enzi zake alipiga marufuku kumdhihaki Mkapa ila kwa rais Samia ajabu mpaka anaenda kufadhili kitabu cha kumchafua Dkt Magufuli akidhani anajiandalia kujizolea kura nyingi kumbe ni kujichafua. Yaani kwa ufupi Dkt Samia ni kiongozi mzuri ila lile kundi baya limemteka sana kiasi kwamba linamfanyia maamuzi.
 
Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!

Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!

Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.

Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!

Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!

Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!

Kwake,wote tutarejea!

+255746726484.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hata mie nimeshangaa sana hii hali. Aisee nimegundua Taifa limegawanyika sana. Kauli za mzaha mzaha kama zile watu wazuri hawafi Leo zinatumika kijinga kufurahia mauti ya Mzee Membe
 
Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Usiseme watanzania sema wanaCCM hao ndiyo wenye roho za kichawi,mpaka wamewafundisha Waisilamu wa zanzibar uchawi,Mlipanga kumuuwa Tundi lisu na kusema maiti yake isipelekwe bungeni,mnaona sasa?
 
Back
Top Bottom