Wewe ndo matraako kabisa. Aliyeanzisha dharau na kebehi kwa viongozi waliotangulia ni Magufuli mwenyewe. Mkapa hakuwahi kumdharau wala kumkebehi Mwinyi licha ya mapungufu aliyoyafanya Mwinyi. Kikwete halikadhalika. Ila Magufuli sasa. Yeye ndiye aliyefanya kila kitu nchi hii kuanzia barabara, viwanda, madaraja shule, hospital, umeme kaleta yeye, maji kaleta yeye, yaani kila kitu kila kitu. Kajenga hostel za mlimani na kashfa juu utadhani alikuwa hajui kama mtangulizi wake kajenga full chuo cha UDOM. In short, uliyesema hapa, muanzilishi na Magufuli sio Samia.