Taifa la washangilia Misiba na Visasi

Wote waliofanya sikukuu na kushangilia kwa mbwembwe kifo cha JPM wataishuhudia 'KARMA' ikifanya kazi yake bila shuruti au kushawishiwa na ama nguvu ya asili ama nguvu ya binadamu. Kifo cha JPM kiliwaumiza sana Watanzania wa hali za kawaida ambao ndio wengi lakini wenye fedha, wafanyabiashara wasio waadilifu na wanasiasa maslahi iwalifurahi wakifikiri wanauwezo wa kuhodhi hewa na mwanga wa jua; Mungu aliye hai anamhesabu mwema na muovu kuwa wote ni sawa na bila kumkiri kwa kinywa na matendo kwamba yeye ndiye Mungu na ukabadilika ni ubatili mtupu pamoja na wema wako.
Viongizi walioshiriki kumdhalilisha JPM wajitokeze na kutubu hadharani maana Mungu sio fedha, sio madaraka, sio kisomo na sio familia tajiri yenye kujivuna na kiburi. Mapigo yataendelea hadi mwasisi wake afikiwe. Jifunzeni namna anavyoishi Mzee Mwinyi ni mstaarabu na mfano wa kuigwa na viongozi wengine wa kisiasa. Hana majivuno anamheshimu mdogo na anasamehe hata anapotendwa vibaya ndio maana Mungu amemruhusu kujionea waliomfuata kiuongozi wanaendaje kwa manufaa ya wananchi.
 
siku nyingine ongea mbele za wanaume ukiwa umekula umeshiba, hao wote uliotaja ndio walikuwa mistari ya mbele kumtukana magufuli HATA alipokuwa amekufa.
 
Inasikitisha sana.
 
Mzee makamba alisahau kumuombea membe naye aingie Kati ya watu wema wasiokufa Tanzania
 
Hata wanaoshirikiana nao nao ni wezi pia. Tunachotaka nchi ifaidike.
 
Mimi siweki neno, maana siku yangu nami itakuja
Sio vizuri kushangilia kifo cha kiumbe yeyote
Kumbukeni unaefurahia kufa kwake pia ana wapendwa wake hata kama ni mbaya
Sijaona mahali nasikuona mahali ukisema hili wakati jpm kafariki... hivyo acha watu wafurahi tu... zamu zamu. Muda wangu pia utafika, bado kijana na kama Mungu ataniepusha nisipatwe na majanga hapa kati basi bila shaka kwa kigezo cha umri kuna wale wazee wenye kauli tata watatangulia Namsubiri yule mzee bila kupepesa macho.
 
Tulieni tu kwa sasa. Mtaimba Kila mapambio ila furaha yenu ya 17 03 21 sasa ni shubiri
 
Just make a research dude and learn to be critical thinker. Kuwa kiongozi usidhani ni lelemama, upuuzi huu umeasisiwa na hao hao viongozi, impact ya kiongozi level ya waziri kuja public kushangilia kifo cha amirijeshi mkuu haya ndiyo matokeo na itabidi hiki kikombe wasikiepuke. Kiongozi kama huyo ninaemsema hakutakiwa kuwa hata kwenye serikali za mitaa ila wanaombeba ni silent promoter wa huu upuuzi ndo maana watanzania wamewaweka kwenye boat moja. RIP Membe
 
Magufuli ndiye alipandikiza hii roho ya visasi na hii ni typical roho ya kihutu, si tunakumbuka wote wahutu walivyoua watutsi zaidi ya laki tisa
Nafikiri wew unaweza kuwa kijitu cha ajabu ajabu Sana Magufuli alishangilia kifo cha nani yeye si hakuwa mwema na alikufa
 
Wapuuzi Upuuzwa tu na ndio hekima ya viwango vya juu!

Otherwise wote mnaonekana wapuuzi na ndio maana wenye akili wamewapuuza wote sababu ya kujadili upuuzi!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwakuwa Mungu ni mkubwa hawatatoboa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…