Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Weka kumbukumbu sawa.Wewe ulikuwa moja wa wapinga katiba mpya, Sasa walia nini weye🤔.
Yaani wewe ni kama wale walio rithishwa madaraka,, hakuna chochote mnachokifanya zaidi ya matumbo yenu na mapambio mtafikiri hii nchi ni ya kwenu na ndugu zenu.Kama ilivyo saccos ya ufipa katoka baba mkwe sasa chairman wa maisha ni mkwe!
Hata chadema asili wanataka chama kitoke kwenye mikono ya ukoo!Yaani ww ni kama wale walio rithishwa madaraka,, hakuna chochote mnachokifanya zaidi ya matumbo yenu na mapambio mtafikiri hii nchi ni ya kwenu na ndugu zenu, Hamna dira yoyote kwa nchi hii!!!
Hata chadema asili wanataka chama kitoke kwenye mikono ya ukoo!
Nyie ndiyo mmezidi mpaka mmelewa kabisaHata chadema asili wanataka chama kitoke kwenye mikono ya ukoo!
sumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu...
Mfano lile toto la Mahita linavyolinajisi jeshi la polisi na kuumiza watanzaniaKasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu...
Dawa ni katiba mpya na tume huru,tupambane kuwachomoa.Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu...