Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Anayeropoka ni anayeunga mkono vitendo vya kihalifu Kwaaslahi ya wachache pamoja na wanaozuia kupatikana katiba mpya Kwa hofu ya maslahi Yao ya uporaji kukoma na wao kuwajibishwa.Wanachoweza ni kuropokaropoka tu.