Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

lkn ni nani anawachagua hawa watoto?si sisi ndo tunaoiharibu nchi kwa kuwarudisha hawa watoto bungeni?tujitafakari ni wapi tumedondokea na tujisahihishe.
 
Kwa hiyo unataka Katiba mpya sasa?
 
Wote ni wachumia tumbo na wao ndio wanasabisha taifa linafika hapa wanajaza unafiki kwa walio juu yao kimadaraka.

Nafikiri ili taifa kwa ccm ata miaka 30 inayo maji na vyoo mashuleni itakua changamoto

Au nasema uwongo ndugu zangu
 
Urithi ndio asili ya binadamu,je wewe unawaandalia urithi watoto wako?
 
Wewe ulikuwa moja wa wapinga katiba mpya, Sasa walia nini weye[emoji848].
Chief, do not attack other people personalities, but give respect to them no matter what they do or say.
 
Dawa ni katiba mpya na tume huru,tupambane kuwachomoa.

Tulimchomoa mkoloni mweupe,huyu mkoloni mweusi tutamshinda tu.
Kwamba tupate Katiba itakayomzuia mtoto wa mstafaa kupata uongozi hata kama ana uwezo?

Babako, mjomba au shangazi yako kuwa kiongozi wa nchi hii kunakunyang'anya wewe haki zako za kiraia?

Siasa ni hoja, tengenezeni hoja kuwashinda wapinzani wenu, acheni ubaguzi.
 
Reactions: Tui
Tukumbushane nani waligomea rasimu ya katiba mpya ilipokuwa inaendelea na kwanini?
 
Acha uoga wengine mbona huwataji?....
 
Chief, do not attack other people personalities, but give respect to them no matter what they do or say.
Sija mwa attack ila tunaongea na kukumbushana mambo ya msingi Kwa maslahi ya taifa.
 
Katiba itaweka uwanja wa haki na usawa ktk siasa.

Kwani ni wao tu ndio wenye uwezo miaka nenda rudi? Mbona kuna watu wengi sana wenye uwezi wa hali ya juu kuzidi wao lakini mifumo mibovu iliyowekwa inawazuia?

Hao watoto hawana uwezo kiuongozi wanabebwa tu ivyo katiba bora ndo itaweka viongozi halisi sio hawa viongozi madeal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…