Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Dec 1, 2021 #41 Niza doyi said: Wanachoweza ni kuropokaropoka tu. Click to expand... Anayeropoka ni anayeunga mkono vitendo vya kihalifu Kwaaslahi ya wachache pamoja na wanaozuia kupatikana katiba mpya Kwa hofu ya maslahi Yao ya uporaji kukoma na wao kuwajibishwa.
Niza doyi said: Wanachoweza ni kuropokaropoka tu. Click to expand... Anayeropoka ni anayeunga mkono vitendo vya kihalifu Kwaaslahi ya wachache pamoja na wanaozuia kupatikana katiba mpya Kwa hofu ya maslahi Yao ya uporaji kukoma na wao kuwajibishwa.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Dec 1, 2021 #42 chikambabatu said: na vikosi vya kijambazi, mfano mzuri Uhuru Kenyatta! Click to expand... Inategemea sana unatazama haya mambo ukiwa umesimama kwenye kona ya nyuzi ngapi?
chikambabatu said: na vikosi vya kijambazi, mfano mzuri Uhuru Kenyatta! Click to expand... Inategemea sana unatazama haya mambo ukiwa umesimama kwenye kona ya nyuzi ngapi?