Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Aongee nini?
Yupo zake bussy anapanga mipango ya kuwakomoa zaidiz
 
Mungu si Athumani , ulichonifurahisha ni kwamba kumbe unajua kwamba wananchi wanaumia , Kiongozi anayeumiza wananchi hafai kabisa
shida ni kwamba watu ndo hawana cha kufanya penda wasipende ni sawa na mwanamke aliyeolewa kwa mwanaume katili analia tu kila siku mana kamtishia ukiwambia ndugu zako nitakuua
 
Una maana azungumzie mipango yake hadharani ya kulifukarisha taifa kupitia ununuzi wa mindege kwa cash na ubambikiaji mashtaka wapinzani wake
 
Kila sku unamponda na kumsimanga humu, leo unataka aongee na taifa, akishaongea badae umkosoe alichongea ...., mara alikosea kusema hvi, mara ana kibur, yaan bla bla nyingi...
fanyeni kazi zingine bhana aah
Unataka akiongea pumba tupige tu makofi; au wewe unawaleaje watoto wako ? kila kitu kwako ni sawa tu. Kwa maana nyingine unamdhauri mh Rais kua asiongee kwasababu kuna watu watachallange hotuba yake?
 
Amewaahidi wana Kigoma barabara ya Nyakanazi lami..

Period.
 
Hizo zilikuwa siasa za kitapeli uongo na udanganyifuwananchi wenyewe wanaona mabarabara, ndege, miradi mikubwa hakuna ujambazi hakuna wizi ajali zimepungua unataka aongee nn wakati matendo yanaongea shut up
 

Ndo shida ya kuwapa washamba majukumu mazito ya kitaifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…