Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Hii laana haitaiacha hii nchi salama ni suala la muda tu
 
Hali kadhalika Libya mpaka kesho
 

Tanzania hatuna Lumumba. Waliokufa viongozi hakuna wa kupinduliwa. Wengine wamejitakia kwa kupuuza Madaktari na viongozi wa dini. Hivyo Tanzania hakuna laana yeyote lakini wanaonyanyasa wananchi ndiyo wana laaniwa
 
Unaweza kuta aliyekufa ndio laana yenyewe mkuu.
 

Karma

Ben Saanane
Kanguye
Azory

-Taratibu na miongozo ni ile ile iliyotolewa na WHO ,kuvaa barakoa,social distancing,"santaiza" na kunawa na sabani kwa maji tiririka.
 
Musiba umeingia kwa namna ya kipekee ila unajisumbua sana maana tupo awamu ya 6.

Mbwembwe zako ziliishia awamu ya 5 ambayo ulikuwa unavumiliwa tu lkn sasa utaishia pabaya.
Musiba umeingia kwa namna ya kipekee ila unajisumbua sana maana tupo awamu ya 6.

Mbwembwe zako ziliishia awamu ya 5 ambayo ulikuwa unavumiliwa tu lkn sasa utaishia pabaya.
We kenge unabashiri mambo kama unawashwa makalio. Kwa nini usijadili walichoandika?
 
Kwani Watanzania wamemuua nani? Au una lako unataka kulitoa moyoni lakini umeshindwa umeona uzunguke zunguke ili kufikisha ujumbe wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…