Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Jitafakari sana kama unastahili kuitwa Great Thinker.
Aliyekufa kashughulikiwa na Mungu mwenyewe.Ameua watu sana hata kuilaani nchi.Kama unampenda Mwendazake ungezikwa naye Chato
 
Kuna yule wa Stanza kama aliuwawa wauaji walichelewa sana..
 
Jitafakari sana kama unastahili kuitwa Great Thinker.
Aliyekufa kashughulikiwa na Mungu mwenyewe.Ameua watu sana hata kuilaani nchi.Kama unampenda Mwendazake ungezikwa naye Chato
Unabog'olewa
 
Mtekaji, muuaji , mfungaji watu kwenye viroba , mbambikiaji kesi za uonezi za uhujumu uchumi , utakatishaji fedha , kupora bureau de change , mporaji wa hela za wafanyabiashara , mkiukaji mkubwa sana wa haki za binadamu utawala bora uhuru wa vyombo vya habari demokrasia huyo ndio mzalendo we Pimbi ?
 
Umemaliza kubog'olewa?
 
Pamoja na mazuri aliyoyafanya,tabia yake ya kutesa na kuuwa binadamu wenzake ndio ilio mponza na yeye kumrestisha in peace.
 
Mtaani kama kuna kibaka anawaibia simu, nguo, sahani au anawapiga kabari usiku, mkmkamata mnampiga na kuchoma moto. Hakuna laana hapo hata kidogo.

Isitoshe mnapata amani, mnadumisha upendo, na mnapata maendeleo

Kama vitendo vya Mwendazake ilikuwa ni uzalendo basi maana ya uzalendo ni UHANITHI.
 
Hata CAG pia akitolewa kwenye nyadhifa yake kwa hila, hilo Taifa hupata tabu sana.
 
Everyday is Saturday
Naam,

Nimekuwa biz kidogo, nikifufua uchumi, shukurani kwa mama Rais.

Mabaki ya Sukuma GANG, usijali mkuu, hata moto huacha majivu ambayo hupeperushwa na kupotezwa naturally.
Hata hawa watapotea tu!

Ile cartoon ya MATAGA #tupo vizuri, nafikiri ule mkono sasa umezama kabisaa, kimebakia kidole kimoja, nacho hakivunji chawa.πŸ˜†πŸ˜

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwa Lugha nyepesi unataka Kusemaje?
 


Muzee una maanisha nn?
 
Nawahurumia wana na wana wa wana wake maana watatembea na laana ya baba yao ya kuua, kuteka, kupoteza watu, na kupora mali za watu.
 
Mtu afe na maugonjwa yake ya moyo usingizie ameuwa
 
Musiba umeingia kwa namna ya kipekee ila unajisumbua sana maana tupo awamu ya 6.

Mbwembwe zako ziliishia awamu ya 5 ambayo ulikuwa unavumiliwa tu lkn sasa utaishia pabaya.
mimba aliyokupa mwendazake hutakaa uzae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…