Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Adui wa congo ni PAKA na ashawahi hojiwa kuhusu hilo yeye ndie petrol ya vurugu zote congo.Swali why congo inayopakana na Angola, zambia, brazavile zenyewe zimetulia isipokuwa hii ya mashariki ndo shida.
Siku PAKA akiondoka duniani ndipo congo itatulia.
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Hadithi yako inatufundisha nini Ngosha

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hawajaelewa huu uzi.yaan nawaza kama mtu aliekufa angekuwa anarudi hata baada ya miaka 20. Watu wangefunguka mungeshanga.
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Ngonjera mtaimba Sana ndio Isha Kula kwenu mliokua mnasubilia teuzi za dhuruma
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Marekani walimuua Kennedy, wana laana gani?
 
kuna laana mbaya zaidi ya kuwaua raia wasio na hatia
 
Mobutu wetu aliyejenga hadi Int Airport Kijijini kwao Covid-19 imetusaidia sana Kumalizana nae Haraka Haraka kabla ya kuitumbukiza nchi yetu kwenye Matatizo Makubwa
 
musiba kaja kivingine hadi raha yaani na hii conspiracy theory yake inasambaa kwelikweli kinyago walichokichonga wenyewe......
 
Ndugu mleta uzi, inaonekana wazi una chembe za uchochezi katika fikra zako.
Hii ni hatari kwa afya ya Taifa letu, nyinyi ndio wale wasababishi wa mauaji ya kimbari endapo hamtadhibitiwa, muda wote unataka kutengeneza mtafaruku katika nchi, hii haikubaliki, tunataka amani.
Wewe unaufahamu uzalendo, utu,umoja na mshikamano?
Hebu tulia ndugu .
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba Congo Drc mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Wewe ni mpumbavu sana, that's what I can say
 
Isije ikawa unawazungumzia watu kama Hitler, Idd Amin na Mwendazake waliojifanya wazalendo huku wakiwaua wananchi wao. Itakuwa umelogwa, na kama huamini nenda kanisani ukaombewe kama hujapona
 
Kelele zote kumbe mtu anatumia betri ya saa za Disco. Mtatafuta sana kumlilia mungu. Ila mungu kaiponya nchi. Bado yule mgogo wa Ipagala na Meriwa.
 
Back
Top Bottom