Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kwani wewe Nyankurungu2020 ndiye Cyprian Musiba? Au wewe ndiyo Makonda?Huna akili pumbavu usiejitambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe Nyankurungu2020 ndiye Cyprian Musiba? Au wewe ndiyo Makonda?Huna akili pumbavu usiejitambua.
Kweli tangu kudhambuliwa kwa kiongozi Lisu taifa limekumbwa na laana iliyopelekea masterminded kufa kifo Cha aibu na fedhehaHivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Corona ilimpitia shujaa wenu noma Sana aiseeNimemgeuka nani🙄🙄🙄
JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne
Wacha kazi iendelee na Ironlady SSH zao halisi la shujaa chini ya serikali makini ya CCM
Upo!?
Tuondolee upumbavu wako hapa.shujaa wa kuuwa na kuteka watu angekufa mapema ingependeza sana huyu filauni ametuharibia nchi kabisa tunamshukuru mungu kwa kutuondolea huyu shetaniNimemgeuka nani[emoji849][emoji849][emoji849]
JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne
Wacha kazi iendelee na Ironlady SSH zao halisi la shujaa chini ya serikali makini ya CCM
Upo!?
Alikua hatufaiHivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Nafikiri anatukumbusha kuhusu historia maana historia hujirudia!Unataka kusemaje...!!!!
Wewe jinga kweli,una maanisha kuwa Meko kauliwa ?nani apate laana ? Huyo Meko kafa na laana zake Tuondokee hapaHivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Kwani nani kauwawa mkuu?Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Corona ilimpitia shujaa wenu noma Sana aisee
Tuondolee upumbavu wako hapa.shujaa wa kuuwa na kuteka watu angekufa mapema ingependeza sana huyu filauni ametuharibia nchi kabisa tunamshukuru mungu kwa kutuondolea huyu shetani
Over
Matatizo ya Congo ni makubwa na magumu yaani twaweza kusema kwa kiingereza ni "Complex".Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Funguka tu, kwani Tanzania tulimuua nani?Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Halaula. Mimi kuna kesi moja niliishuhudia na macho yangu mwaka 2006. Alimfuata dada mmoja wa Maabara hospital moja ya watoto Morocco. Akajifanya anapima damu kidoleni akamdondoshea karatasi ina ujumbe. Ghafla yule dada alitoweka wakati jamaa akitangulia. Toka hiyo siku nilimdharau saana. Kumbe ndiyo zake.Kwenye mambo ya ngono alikuwa Hana simile. Wanawake wote kwenye cabinet yake yaani akina Jenista, Kairuki, Ummy Mwalimu, Jokate kwapitia mpaka wengine kawazalisha watoto
"SUKUMA GANG" 🤣🤣🤣🤣 MTASAGA SANA MENO!Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Mbona kama mnachanganyikiwa hivi?Open your eyes mama.
Ila yule jamaa sijawahi kupata mfano wa kufananisha nae. Yaani kidogo labda Mzee Hayati Moringe Sokoine ndio anaweza kufanana namna ya kujitoa kwake.Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Kelele nyiiiingi utadhani alikua anatumia Diesel kumbe ni betri...Mkuu mbona kuna tetesi kuwa betri iliisha muda wake tangia kipindi cha kampeni na wataalamu wakamwambia mzee inatakiwa ibadilishwe ila operation yake ni risk kubwa.
😂😂😂😂😂Magufuli mwenywe alikuwa spanna mkononi ndiyo wajinga walikuwa wanataka aongezewe muda. Jitu linaumwa UKIMWI toka miaka ya 1990s, limewekewa betri kufuani, lina diabetes halafu ni Bipolar lisingeweza kukatiza kwenye upepo wa COVID19
Huyu alikua Shujaa hakuogopa hata kifo sababu alijua kufa kupo tuu...... Ole wako wewe unayeshangilia yeye kufa ungali hujui kifo chako ni saa ngapi
Unaona wivu hata alivyopumzika eee?