Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Kweli tangu kudhambuliwa kwa kiongozi Lisu taifa limekumbwa na laana iliyopelekea masterminded kufa kifo Cha aibu na fedheha
 
Nimemgeuka nani🙄🙄🙄

JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne

Wacha kazi iendelee na Ironlady SSH zao halisi la shujaa chini ya serikali makini ya CCM

Upo!?
Corona ilimpitia shujaa wenu noma Sana aisee
 
Nimemgeuka nani[emoji849][emoji849][emoji849]

JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne

Wacha kazi iendelee na Ironlady SSH zao halisi la shujaa chini ya serikali makini ya CCM

Upo!?
Tuondolee upumbavu wako hapa.shujaa wa kuuwa na kuteka watu angekufa mapema ingependeza sana huyu filauni ametuharibia nchi kabisa tunamshukuru mungu kwa kutuondolea huyu shetani

Over
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Alikua hatufai
 
Wewe jinga kweli,una maanisha kuwa Meko kauliwa ?nani apate laana ? Huyo Meko kafa na laana zake Tuondokee hapa
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Kwani nani kauwawa mkuu?
 
Corona ilimpitia shujaa wenu noma Sana aisee

Huyu alikua Shujaa hakuogopa hata kifo sababu alijua kufa kupo tuu...... Ole wako wewe unayeshangilia yeye kufa ungali hujui kifo chako ni saa ngapi

Unaona wivu hata alivyopumzika eee?
 
Marekani walimuua A. Lincoln na JF Kennedy nini laana yao? Halafu acha uzandiki we SKM gang, jamaa yako kilicho muondoa ni laana za kuwaumiza wengine, ndo maana moyo ukafail. Think of Mawazo, TAL, Gwanda, Sa8, Kaflag (hadi mother yake aka rest in peace), Akwilin e.t.c
 
Tuondolee upumbavu wako hapa.shujaa wa kuuwa na kuteka watu angekufa mapema ingependeza sana huyu filauni ametuharibia nchi kabisa tunamshukuru mungu kwa kutuondolea huyu shetani

Over

Mtu mwenyewe hata kuandika hujui...... filauni ni nini😂😂😂😂😂😂😂
Wewe ni mpumbavu kuliko upumbavu wenyewe
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Matatizo ya Congo ni makubwa na magumu yaani twaweza kusema kwa kiingereza ni "Complex".

Ni hivyo kwasababu nchi ya Ubelgiji bado iliendelea kuwepo pale ikiangalia ustaarabu baada ya Lumumba kuchaguliwa kuwa waziri mkuu.

Licha ya Ubelgiji pia zilikuwepo nchi zingine ambazo zilikuwa na hadi leo zinaendela kuwa na maslahi nchini Congo DRC.

Hata hivyo hayati Lumumba alipotangazwa kuwa waziri mkuu alikuwa na mambo mawili makubwa.

1. Aliamini uhuru wa Congo ungefungua maisha ya wanaCongo kuwa bora na 2 alitaka kuliungansiha taifa hilo kuwa kitu kimoja na kuondoa ukabila na ukanda.

Siku ya kukabidhiwa uhuru Lumumba hakupangwa kutoa hotuba na alipopewa nafasi hiyo alizungumza mambo ambayo hayakuwafurahisha walokoni wa kibelgiji akiwepo waziri mkuu wa Ubelgiji.

Hotuba aloitoa Lumumba siku hiyo ndo ilotengenza mazingira ya kupinduliwa, kuwekwa gerezani na kisha baadae kuuawa kwa kupigwa risari na askari ambao walikuwa ni wacongo wenzie wakisimamiwa na Mobutu.

Hotuba hiyo iliitwa "Impromptu Speech" na pia ilisemwa kuwa ni "Venomous" au sumu.

Kuna mada nilileta humu kipindi fulani nikisoma alama za nyakati na nikasema: Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

Nilipoona hiyo haieleweki nikaweka taarifa ingine ambayo ililenga kutoa nafasi ya kutafakuri yale ambayo viongozi wa nchi mbalimbali huyazungumza.

Nikaweka hapa: Mafisadi waiingilia idara ya usalama ya Botswana , wataka kumuua Rais Mokgweetsi Masisi ili kupora rasilimali za nchi hiyo

Hivyo, nikisoma ndani ya mistari yaani "reading between the lines" naona habari hii unayoleta inalenga tu kupima upepo na huna nia thabiti ya kuzungumza utakacho kuzungumza.

Kiongozi ambae hupendwa sana na wananchi wake hudhihirika pale inapoaminika amefariki.

Lakini wakati huohuo huwepo baadhi ya wananchi ambao hufurahia kifo cha kiongozi wa taifa hilo kutokana na aina au mtindo wa uongozi alokuwa akitumia kutekeleza majukumu yake.

Lakini kikubwa ni kila mara kusisitiza uzalendo na kutetea maslahi yao khasa wale wananchi maskini ambao mifumo ya kipebari na kikabaila huwakandamiza.

Kwa hadhi ya JF na viunga vyake vyote humu wapaswa kuleta mada chokonozi lakini uloipanga bila kuonyesha dalili za kutaka kuhamasisha uchochezi na taharuki.

Ramadhan Karim.
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Funguka tu, kwani Tanzania tulimuua nani?
 
Kwenye mambo ya ngono alikuwa Hana simile. Wanawake wote kwenye cabinet yake yaani akina Jenista, Kairuki, Ummy Mwalimu, Jokate kwapitia mpaka wengine kawazalisha watoto
Halaula. Mimi kuna kesi moja niliishuhudia na macho yangu mwaka 2006. Alimfuata dada mmoja wa Maabara hospital moja ya watoto Morocco. Akajifanya anapima damu kidoleni akamdondoshea karatasi ina ujumbe. Ghafla yule dada alitoweka wakati jamaa akitangulia. Toka hiyo siku nilimdharau saana. Kumbe ndiyo zake.
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
"SUKUMA GANG" 🤣🤣🤣🤣 MTASAGA SANA MENO!

JE WALE WALIOKUWA WANAELEA KWENYE VIROBA MTO RUVU NA BAHARI YA HINDI???🤣🤣🤣🤣🤣

🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Ila yule jamaa sijawahi kupata mfano wa kufananisha nae. Yaani kidogo labda Mzee Hayati Moringe Sokoine ndio anaweza kufanana namna ya kujitoa kwake.

Patrice Lumumba ni habari nyingine. Jamaa alikuwa jabali la kiafrika kweli kweli.

MUNGU baba amrehemu huko alipo kwasasa, amani ya milele ampe kwa kirefu.
 
Mkuu mbona kuna tetesi kuwa betri iliisha muda wake tangia kipindi cha kampeni na wataalamu wakamwambia mzee inatakiwa ibadilishwe ila operation yake ni risk kubwa.
Kelele nyiiiingi utadhani alikua anatumia Diesel kumbe ni betri...
 
Magufuli mwenywe alikuwa spanna mkononi ndiyo wajinga walikuwa wanataka aongezewe muda. Jitu linaumwa UKIMWI toka miaka ya 1990s, limewekewa betri kufuani, lina diabetes halafu ni Bipolar lisingeweza kukatiza kwenye upepo wa COVID19
😂😂😂😂😂
 
Huyu alikua Shujaa hakuogopa hata kifo sababu alijua kufa kupo tuu...... Ole wako wewe unayeshangilia yeye kufa ungali hujui kifo chako ni saa ngapi

Unaona wivu hata alivyopumzika eee?

Mama D huyo jamaa hatakiwi hata kupumzika, yani apige chafya, apate kwikwi huko, afufuke kisha afe tena....
 
Back
Top Bottom