Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unamaanisha mfalme Bakayoko wa kule nchi jirani aliuawa na wanakijiji wenzake?Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
UjingaHivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Mwendazake alikuwa Malaya wa kutupwa. Ndiyo maana hata idadi ya watoto wake siyo wale 7 waliotajwa pale bali wanafika 17Halaula. Mimi kuna kesi moja niliishuhudia na macho yangu mwaka 2006. Alimfuata dada mmoja wa Maabara hospital moja ya watoto Morocco. Akajifanya anapima damu kidoleni akamdondoshea karatasi ina ujumbe. Ghafla yule dada alitoweka wakati jamaa akitangulia. Toka hiyo siku nilimdharau saana. Kumbe ndiyo zake.
Kwani korona ikiua mtu... hivi mtuhumiwa hapo anakuwa nani kwa mfano?
Mwendazake alikuwa Malaya wa kutupwa. Ndiyo maana hata idadi ya watoto wake siyo wale 7 waliotajwa pale bali wanafika 17
Huna akili we boya. Ulichoandika unauthibitisho nacho? Kinahisika vipi kwenye hii mada?
Mangi vip aisee punguza k- vant za asubuh asubuh acha system itende kazi, usiwafundishe watu kazi,mpaka mda huu kazini huinekani ulikua na Shea gani kubwa na mekooo.?Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.
Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.
Watanzania tujitafakari sana.
Dada kesho nikupe ofa ya dera,mana genye zitakuuaWe kenge unabashiri mambo kama unawashwa makalio. Kwa nini usijadili walichoandika?
Mama D huyo jamaa hatakiwi hata kupumzika, yani apige chafya, apate kwikwi huko, afufuke kisha afe tena....
Unamzungumzia nani?Nani kamuua? Tulimuua kwa maombi kwa Mungu wa kweli.
Asante sana Mungu wa kweli kwa kujibu maombi yetu.
Ushoga ni kosa la jinai hapa Tanzania.Dada kesho nikupe ofa ya dera,mana genye zitakuua