Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Kwa hiyo unamaanisha mfalme Bakayoko wa kule nchi jirani aliuawa na wanakijiji wenzake?
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Ujinga
 
KAPIGWA RISASI?,....
TUJIFUNZE KUKUBALI MAPENZI YA MUNGU.
MUNGU ASINGERIDHIA ASINGEFARIKI HATA RISASI,JIFUNZE KWA LISSU,MUNGU HAKUTAKA LISSU AFE,AMININI MUNGU YUPO!,MUWEZA WA YOTE ...
 
Halaula. Mimi kuna kesi moja niliishuhudia na macho yangu mwaka 2006. Alimfuata dada mmoja wa Maabara hospital moja ya watoto Morocco. Akajifanya anapima damu kidoleni akamdondoshea karatasi ina ujumbe. Ghafla yule dada alitoweka wakati jamaa akitangulia. Toka hiyo siku nilimdharau saana. Kumbe ndiyo zake.
Mwendazake alikuwa Malaya wa kutupwa. Ndiyo maana hata idadi ya watoto wake siyo wale 7 waliotajwa pale bali wanafika 17
 
Mkishakunywa komoni huwa mnakuwa wasumbufu sana kila nafsi itaonja mauti kwa ahadi ya Mungu sasa hizi ngonjera zinatokea wapi?
 
Hata Karume (Rip) walipoona anataka kuuvunja muungano hawakumstahi hata kidogo labda wewe hulijui hilo.

Ni kawaida kama kiongozi yeyote anaonekana kuwa ni kikwazo kwa usalama, ustawi au maslahi mapana ya taifa basi huondolewa kwa njia yoyote ile ili kuliokoa taifa na hili limekuwa likifanyika sana hapa duniani.

So the Tanzanian case is neither unprecedented nor unique.
 
Unarusha jiwe gizan,bahati mbaya limerud limekupiga WEWE mwenyew,

Sasa lawama usitupe sisi,lawama ipe corona,na hata ukiilaum corona nayo utakuwa unaionea tuh,kwani yeye hakujua kuwa ipo?kila siku alikuwa anaambiwa jikinge hataki anasema ni vita ya kiuchumi,naww unachukia nin na yeye mwenyewe kapenda kuondoka akaongoze malaika??we kinachokuuma nin
 
Kiukweli nitamkumbuka daima Hayati Magufuli. Best ever. RIP Sir
 
Mwendazake alikuwa Malaya wa kutupwa. Ndiyo maana hata idadi ya watoto wake siyo wale 7 waliotajwa pale bali wanafika 17

Lakin mkuu kwa hilo tusimlaum Sana mkuu,

Ile kitu Ina utam wake mkuu,tuseme ukweli mkuu,msema kweli ni kipenz Cha mungu mkuu
 
Huna akili we boya. Ulichoandika unauthibitisho nacho? Kinahisika vipi kwenye hii mada?

Shida jamaa yako alikuwa mbishi,anaambiwa jikinge hataki anasema ni vita ya kiuchumi tuh,na alikuwa anaikejeli Sana hiyo Covid,Ila sasa mkuu we unamind nini na mwendazake mwenyewe alikuwa anataman kusepa akaongoze malaika?we unachomind nin
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Mangi vip aisee punguza k- vant za asubuh asubuh acha system itende kazi, usiwafundishe watu kazi,mpaka mda huu kazini huinekani ulikua na Shea gani kubwa na mekooo.?
 
Nani kamuua? Tulimuua kwa maombi kwa Mungu wa kweli.
Asante sana Mungu wa kweli kwa kujibu maombi yetu.
 
Back
Top Bottom