Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sorry tunafungwa Lini?Wanacheza Lini??
Hii Simba mbovu? Bora iwe hivyoUkicganga tu mambo ya simba na yamba stars haitoboi
Umenikumbusha video moja jamaa anamgongea mlango mshkaji anamwambia "Mwamedi, inatoshaaa kuna keshooo"Muda huo ntakuwa bize na shemeji yenu nikijipigia magori kama vile halaand,,,,sina time na timu ya taifa lolote liwakute tu
story yako inatufundisha nn 🤣Umenikumbusha video moja jamaa anamgongea mlango mshkaji anamwambia "Mwamedi, inatoshaaa kuna keshooo"
Hii Simba mbovu? Bora iwe hivyo
Kwa hiyo hamtaki kuwaona Aucho na Gifty wakienda AFCON?Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani
All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Wakijichanganya kushambulia ndio tutakufa mengi.Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani
All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Vipi ikatokea wakapiga pira papatu papatu!! Hatuwezi kupata hata sare kweli!!!!Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika
Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani
All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Yataona pira la Gamondi leoAloooh yetu macho
HatuweziVipi ikatokea wakapiga pira papatu papatu!! Hatuwezi kupata hata sare kweli!!!!