Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika

Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani

All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
 
Hii Simba mbovu? Bora iwe hivyo
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika

Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani

All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Kwa hiyo hamtaki kuwaona Aucho na Gifty wakienda AFCON?
 
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika

Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani

All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Wakijichanganya kushambulia ndio tutakufa mengi.

Mechi ya leo kiufundi Ni kuwaacha Algeria wacheze Mpira lakini hakuna kutufunga goli ndio Salama yetu.

Hii siyo mechi ya kutafuta ushindi, Ni mechi ya kutafuta sare makocha wazuri wanajuwa mechi hizi zinachezajwe, waache wao wapate ball possession hata 70% lakini hakuna goli, ila wakijichanganya tu counter attack moja tu score body inabadirika mnawakomalia mpaka mwisho moja bila.
 
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika

Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani

All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Vipi ikatokea wakapiga pira papatu papatu!! Hatuwezi kupata hata sare kweli!!!!
 
Back
Top Bottom