CCM nimekwambia kashai sio England
ngasa atoke
Hongera sana Mkwasa ..watanzania tuna imani na wewe
Tunataka bao la 3 kwa upande wa kwanza huku hatutaki kufungwa bao lolote kwa upande wa pili.
Ngapi ngapi wakuu
hii ni ligi au mtoano naona mnaongelea hazina ya magoli
Kweli 3 bila ingekuwa poa sana, wanaonekana wazuri, so kwao haitakuwa rahisi kama hatuna hazina nzuri ya magoli