Taifa Stars Vs Malawi

Taifa Stars Vs Malawi

Hongera Stars na kila la heri, kweli huu mwaka wa mabadiliko.
 
Hongera sana Mkwasa ..watanzania tuna imani na wewe
 
mpira unagonga wamba huyu ulimwengu ni hatari
 
Tunataka bao la 3 kwa upande wa kwanza huku hatutaki kufungwa bao lolote kwa upande wa pili.

Kweli 3 bila ingekuwa poa sana, wanaonekana wazuri, so kwao haitakuwa rahisi kama hatuna hazina nzuri ya magoli
 
Farid Musa anatoka anaingia Msuva
 
batez anaokoa mpira wa hatari sana sasa yupo chini.
 
hii ni ligi au mtoano naona mnaongelea hazina ya magoli
 
Kweli 3 bila ingekuwa poa sana, wanaonekana wazuri, so kwao haitakuwa rahisi kama hatuna hazina nzuri ya magoli

Kama hatuwezi kufunga tena basi tusiruhusu kufungwa bao kwa nguvu zote, wakipata hata bao moja tu safari yetu ya kuelekea Urusi itakuwa imefikia ukingoni.
 
Back
Top Bottom