Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

KIGAMBONI HUYU JAMAA HATA SIJAWAHI KUMUELEWA Yaan akishinda tu ndo hamumuoni tena sijui chawi hili jamaa sasa mwaka kesho ndo ataanza kuonekana wanakigamboni tufukuze huyu mtu hatufai ww kigamboni barabara za mtaa ni makorongo maji yanachukukiwa yabapelekwa mjini wakati k8gamboni hatuna maji na mbunge anaangalia tu.
 
Arusha peke yake na jimbo lolote la Mbeya atakalogombea Wakili Mwabukusi....mengine yote yatarudi CCM kihalali kabisa
 
Back
Top Bottom