Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Hivi hiyo kimara na mbezi ni jimbo gani?

Mbunge wao yuko hai kweli. Si kwa zile barabara.
 
Mbeya mjini bado pana changamoto sababu wanyakyusa wanaubaguzi kama wahaya
Sisi wanyakyusa mbeya hatumpendi tulia tunataka mkinga sugu. Ubaguzi na ukabila sisi hatuna. Tulia sio chaguo letu labda achaguliwe na wasafwa wa igawilo
 
Unapenda sana kidharadu Wasukuma! Hizo Nyamagana na Ilemela bado majority ni Wasukuma! au nitajie jimbo gani Mwanza ambalo majority ya wapiga kura sio wasukuma tofauti na Ukerewe? Acha ujinga!
Ujinga ni kupinga ukweli. Nyamagana na ilemela inakaliwa mostly na watu wa mikoa mingine. Huu ni utafiti umefanyika acha usukuma dada
 
Ujinga ni kupinga ukweli. Nyamagana na ilemela inakaliwa mostly na watu wa mikoa mingine. Huu ni utafiti umefanyika acha usukuma dada
Wewe unaongea kwa mihemko! Hao watu wa mikoa mingine nitajie?
Wewe Umejaa ujinga na ukabila unadhani watu wa Mwanza Wanaubaguzi wa kijinga!
Watu wa makabila mengine wapo ila bado majority ni wenyeji wa Mwanza!
 
Arusha mjini, ubungo, babati mjini, mtama, hai, Iringa mjini, Tarime vijijini & mbeya mjini
 
Vunjo, Moshi Vijijini, Moshi Mjini, Rombo, Hai na Siha mkoani K'Njaro lazima yatarudi upinzani kwani watu wa kule wanajielewa vyema. Sina uhakika sana na Same Mashariki/Magharibi na Mwanga kwani kule ni species ingine na bado kidogo u-zuzu upo.
Inategemea nani atakua mgombea urais ccm. Kujitambua sio lazima upigie upinzani.
 
Back
Top Bottom