Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Pumbavu kabisa, uzuzu unao wewe bw.ege.
Mazuzu na misukule ya CCM ndio hawa wanaaoshabikia CCM. Maeneo yaliyo duni zaidi nchini ndio washabiki wakubwa wa CCM ndio mikoa ya Kusini, kanda ya ziwa na kanda ya kati.
 
Katika haya maisha nchi hii lazima nije kuwa mwanasiasa
Nchi hii ina mambugila wengi sana
Kwa hiyo wanaotumia akili kidogo tu ndiyo wanaofaidi hii nchi
Sitaki kuwa kwenye hili kundi

Bado safari ni ndefu sana kwa Tanzania kupata mabadiliko
Eti kuna watu wamekaa wanajadili jinsi upinzani utakavyoshinda 2025

Naomba mnishawishi kwanza kabla ya kuendelea na mada ni kigezo gani upinzani watatumia kushinda hayo maeneo mnaoyasema humu kwamba watashinda

Na uhakika mnaamini kwamba upinzani haukuwa na sababu ya kushinda jimbo lolote 2020
Lakini kwa sasa mnaamini upinzani wamefanya mambo ya msingi sana yaliyowagusa sana wananchi kiasi cha ccm kuangushwa katika majimbo kadhaa mnayotaja

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani hawaeleki wangekuwa ndumilakuwili
IMG_20231101_075756_389.jpg
 
Hivi kwanini watu hudhani Kilimanjaro ni ya wapinzani?... Hapo labda vunjo, hai, na siha ila huko kwengine wapinzani hawawezi chukua
Not really, hata Moshi mjini, vijijini na Hai yanaondoka mapema tu. Kule wameikataa CCM tokea 1995 ndio sembuse 2025 ambapo waTanzania zaidi ya 50% wamezaliwa kipindi cha vyama vingi
 
Vunjo, Moshi Vijijini, Moshi Mjini, Rombo, Hai na Siha mkoani K'Njaro lazima yatarudi upinzani kwani watu wa kule wanajielewa vyema. Sina uhakika sana na Same Mashariki/Magharibi na Mwanga kwani kule ni species ingine na bado kidogo u-zuzu upo.
Wanajielewa au wamejaa ukabila!?
 
Namshauri Tulia alipie king'amuzi kwa ajili ya kushuhudia bunge live kutoka nyumbani kuanzia october 2025
 
Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani?

Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
Mbeya mjini, iringa mjini, makambako, mafinga, mikumi, mbozi, Tunduma, hai, siha, arusha mjini, arumeru mashariki na magharibi, babati, karatu, ilemela nyamagana, Tarime mjini na vijijini, bunda mjini, Kinondoni, kawe, ubungo, kibamba, ukonga, segerea, Temeke, kibaha mjini, dodoma, kilombero, ulanga, kwela, sumbawanga mjini, songea mjini, masasi, ndanda, nachingwea, mtwara mjini, tandahimba, mtama, ruangwa, mpanda mjini, karagwe, kyerwa, bukoba mjini, chatto, moshi mjini, vunjo, rombo, same mashariki, korogwe, tanga mjini, kalambo, kigoma mjini, kasuru mjini, buhigwe, kigoma kaskazini, biharamulo,mkuranga, mafia, peramiho, nyasa, karenga, kyela, rungwe, busokelo,mtera, kibaigwa, kondoa, singida mjini, singida mashariki, singida kaskazini, Tabora mjini, igunga, nzega mjini, shinyanga mjini, sengerema, busanda, misenyi, bukoba vijijini, ngara, mwanga na momba
 
Misungwi na magu itoe. Kuna wasukuma hizo wilaya ni viazi toka dunia iumbwe haijawahi tokea 😄😄
Unapenda sana kidharadu Wasukuma! Hizo Nyamagana na Ilemela bado majority ni Wasukuma! au nitajie jimbo gani Mwanza ambalo majority ya wapiga kura sio wasukuma tofauti na Ukerewe? Acha ujinga!
 
Back
Top Bottom