Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani? [/
Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani?

Wanasiasa wapya watakuwa akina nan

Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani?

Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
Asilimia 60 ya majimbo yote nchini yatachukuliwa na upinzani...
 
Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani?

Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
Mtapewa majimbo mengi tu ili mpate posho na ruzuku muache kelele...CCM wanajua kwamba njaa pia huchangia wingi wa kelele.

Kitu watafanya CCM ni kuhakikisha wanabaki na majority ili wasishindwe kupitisha mambo yao!
 
Mnaota neema iliyo upande wa pili wa Mto, mnasahau kuwa Mto una mamba wakali wenye njaa na hakuna daraja.

Tusubiri.
Wanapiga hesabu za posho na ruzuku hao...hii miaka mi 5 ambayo hawako mjengoni njaa imewabamba sana...!

Ila yule mzee mwendazake kajua kuwaweka watu na njaa...[emoji1787]
 
ccm itabakiza majimbo machache sana kama vile; mpina na jimbo lake atabaki, kishimba na jimbo lake atabakia, msukuma...kuna walakini anaweza baki na jimbo pengine, abood na Shabiby watabaki na majimbo yao, tulia sijui pengine atabakia na jimbo lake..majimbo yaliyobakia yote yatakwenda upinzani....samia hataamini watanganyika watakavyoamua mambo yao 😎
 
Wanapiga hesabu za posho na ruzuku hao...hii miaka mi 5 ambayo hawako mjengoni njaa imewabamba sana...!

Ila yule mzee mwendazake kajua kuwaweka watu na njaa...[emoji1787]
Magu alikuja kutuonyesha aina ya WAPINZANI wa Nchi hii,

Mwabukusi Hana ham nao!!
 
Kazi ya kwanza muhimu ni kuhakikisha huyu Rais wa kibahati hapewi ugombea wa CCM , hii nchi sio ya kuifanyia ikulu majaribio. She must go home, CCM tuna hadhi kubwa kuliko hapa tulipo.
 
Vunjo, Moshi Vijijini, Moshi Mjini, Rombo, Hai na Siha mkoani K'Njaro lazima yatarudi upinzani kwani watu wa kule wanajielewa vyema. Sina uhakika sana na Same Mashariki/Magharibi na Mwanga kwani kule ni species ingine na bado kidogo u-zuzu upo.
Kwa hiyo watu wakichagua upinzani ndiyo wanakuwa na akili?
 
Back
Top Bottom