Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Tatizo ana kiburi hata kwa waliomsaidia kushinda uchaguzi. Kiburi!Mtemvu atafute kazi nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ana kiburi hata kwa waliomsaidia kushinda uchaguzi. Kiburi!Mtemvu atafute kazi nyingine.
Kumbe upo huku nako!Ili muanze kuwafanyia figisu?
Kwa hiyo nchi nzima majimbo yanaenda upinzani?Segerea
Kibamba
Ubungo
Kawe
Kama Mbowe alivyoichukua Hai. Uchaguzi hautabiriki!Saa nne kamili kabla ya misa jumapili
Nonsense as usualMbeya mjini ni mali halali ya Dr Tulia Acksoni Mwansasu.Hana mpinzani wala wa kushindana naye.
Hapana umeweka uchama pembeni kabisa. Erythrocyte ana cha kujifunza hapa. Siyo kila wakati unakipambania CHADEMA hata kwa yasiyo na tija kwa Taifa.Kuna majimbo lazima yatakwenda upinzani, nani kushinda wapi hiyo kwangu hata sioni kama ina maana tena, siamini kama itabadilisha chochote kwenye scape ya siasa zetu.
Mambo yataendelea kuwa vile vile tu business as usual, wapinzani wapige kelele, CCM wasikilize kelele zao, mwisho wa siku wote wale mishahara minono na posho, but nothing else will change.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Watu hawampendi Kitila. Kuna jamaa fulani pale Makuburi wanasema arudi upinzani alikotokea..Mm ni Ccm,nisiye na unafki ila ubungo wapinzani mshindwe wenyewe tu
ccm itabakiza majimbo machache sana kama vile; mpina na jimbo lake atabaki, kishimba na jimbo lake atabakia, msukuma...kuna walakini anaweza baki na jimbo pengine, abood na Shabiby watabaki na majimbo yao, tulia sijui pengine atabakia na jimbo lake..majimbo yaliyobakia yote yatakwenda upinzani....samia hataamini watanganyika watakavyoamua mambo yao 😎
Kitila watu sasa wanamuonesha waziwazi hatukupendi ,hamna alichofanya ubungo,kumbuka ubungo wamekaa watu wanaojielewa sana hasa wachaga wengi mno, dar makazi ya wachaga yapo ubungoWatu hawampendi Kitila. Kuna jamaa fulani pale Makuburi wanasema arudi upinzani alikotokea..
Kiukweli jamaa alikuwa planted na Magu pale Ubungo. Nia yake alikuwa agombee Iramba Magharibi ila Mwigu akataka kumuwashia moto wa rushwa ndipo Magu akamtonya kwamba toka huko haraka njoo Ubungo.
Wengine planted ni Prof Mkenda-Rombo, Prof. Ndakidemi-Moshi Vijijini, Prof. Kabudi-Kilosa, Prof. Ndakichako-sikumbuki jimbo, Dr. Kimei-Vunjo et al
😂😂😂nazurura kweliKumbe upo huku nako!
Watu wa Magu acha kuwachukulia poa kwenye upinzani wamewahi kuwa na mbunge wa upinzani kupitia UDP.Misungwi na magu itoe. Kuna wasukuma hizo wilaya ni viazi toka dunia iumbwe haijawahi tokea [emoji1][emoji1]
Ninakugawa bure😂😂😂nazurura kweli
😂usifanye ivo bhanaNinakugawa bure
Hata Ruvuma,Tabora na Singida wanaweza kubakinayo pia maana kuna vilaza sio mchezo huwaambii kitu kwa kijani.Ma CCM yatakubali kirahisi kweli? Kama uchaguzi ukiwa huru ni ngumu sana CCM kupenya! Watabaki na majimbo ya Wagogo!
Mtu yeyote ambaye bado anaishabikia CCM hawezi kuwa sawa ni aidha anafaidika nayo kimagendo au ni mjinga tu asiyejua vizuri mambo.Kwa hiyo watu wakichagua upinzani ndiyo wanakuwa na akili?
Kwimba ,Sumve na Maisungwi ...ngumu sana wale watu wanavichwa vigumu sana ......Mkoa WA mwanza majimbo yote yanaenda Chadema namanisha ILEMELA NYAMAGANA MISUNGWI KWIMBA MAGU UKEREWE NA SENGEREMA.