nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hili ni jina la mmisionari wa kwanza maeneo hayo kitimbiriu...kidia..kisamo...tela....kikararaGutman nilisoma nae olevel pale KB sijawahi kisikia hili jina tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni jina la mmisionari wa kwanza maeneo hayo kitimbiriu...kidia..kisamo...tela....kikararaGutman nilisoma nae olevel pale KB sijawahi kisikia hili jina tena
MoshiNimesoma na hilo jina O-level.. wewe ulisoma wapi? Hata Mkoa tu
Unyama mwenetuTryphon na Tryphonia ni twins hawa, nilisoma nao primary.
la kizaramo hiloKidire
Hawa kama hawatoki maeneo ya arusha basi kilimanjaro😀Tryphon na Tryphonia ni twins hawa, nilisoma nao primary.
Tryphon ni geni?Ngoja nimuulize mzee Tryphon Maji.Tryphon
Sidueli
Anhaaa mkuu huu utani? The imp? Ndo jina lake kabisa m?The imp
Bageni nimeshakutana naloBageni
Geneviva
Germina
Nlikutana na mwenye hlo jina mara Moja tuTryphon ni geni?Ngoja nimuulize mzee Tryphon Maji.
hili jina mbona Kama wagiriki wa kale?😂😂🙌🏻Arsenius
Minaki nini?Jamaa anaitwa Panya nikasema mzee wake atakuwa jina lake Paka🤣🤣
Huyo atakuwa mwalimu Mkatakona mitaa ya Tabora.Mkatakona Peleka
huyu shule alikuwa hataniwi kweli? HhahaMwaitako Mwasapumbu.
Jina la kihaya Hilohili jina mbona Kama wagiriki wa kale?😂😂🙌🏻
The prof himself🙌🏻Palamagamba Kabudi.
halafu kama umegundua majina ya mapadri na wanasheria huwa kama yanataka kuwa na kamfanano fulani hivi.Jina la kihaya Hilo
Ni kweli huko utakutana na kina Eustences, Antelius, Prospectius, Germinius itakua wagiriki wana vinasaba vya kamachumu au kanyingo [emoji23][emoji23]Nendeni uhayani mkajionee majina ya kigiriki. Tena yale ancient greek name. Washenzi wanamisifa hao eti
Respilius, achilius, hadi Hercules [emoji1787][emoji1787]
Ngoja nitafitihalafu kama umegundua majina ya mapadri na wanasheria huwa kama yanataka kuwa na kamfanano fulani hivi.
Changamoto ni kwamba,majina mengi huenda kwa familia,ukoo,ukanda hata dini na mazoea.Nlikutana na mwenye hlo jina mara Moja tu