twende apa zora zoraa zoranga nikiw daslam nilisikia mchizi wangu anamuita mchizi wake majina hayo. nkamuuliza akaniambia ndio majina yake alimpa mapya akatengenezea paspot ya kuingia ulayawakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.
Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo.
Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali nyingine