Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.

Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo.
Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali nyingine
twende apa zora zoraa zoranga nikiw daslam nilisikia mchizi wangu anamuita mchizi wake majina hayo. nkamuuliza akaniambia ndio majina yake alimpa mapya akatengenezea paspot ya kuingia ulaya
 
Mtango Mtalalango ni mtanzania mwenzangu nikisoma naye Msc. Pale Algeria lakini pia na Kiranga wa JF. Kajamaa ka kisukuma, kafupi kabeba Mabox na kaosha wazee huko kwa bidden ila ndio kajuaji ka JF. Nilichojifunza kwake, unaweza mtoa msukuma Tanzania na kumpeleka kuishi kwa Dada yake USA ila huwezi utoa usukuma ndani yake😀😃😄😁😆
kiranga , mtango na mtangalo ni wasukuma mkuu?
 
Hili jina jamaa alikuwa mpare anaitwa Elinyau halafu alikuwa mchungaji ...Sijawahi kuona maana Kilimanjaro kuna elineema ,eliwangu , eliamini.
mimi nilikutana na elirehema daah yule kenge alikuwa na akili darasani 😀🙌🏻
 
Back
Top Bottom