Hapa lazima nikupongeze maana haujatukana. Yaani wewe ukiacha matusi utakuwa the best hapa jamiiforums.Hujawahi Kunikubali hapa Jamiiforums hivyo ningeshangaa sana kama katika huu Uzi ungenipongeza.
Comrade Asante sana kwa 'Credits' zako hizi Kwangu na Kuniheshimisha kiasi hiki Kikubwa. Ubarikiwe zaidi.Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu.
Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha. Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hayujayaishi bado nanhatujayafikia.
Huu ni uzi wa kutambua jambo kwa ufupi tu, vipaji tunavyovionesha kupitia maandishi yetu. Karibu na wewe utie nyama kwenye uzi huu. Asanye.
- Mshana Jr ni visionary, ndiye nabii wa jamvi letu. Jicho lake kali linaona miaka kumi elfu nyuma, na miaka mia elfu ijayo. Iwe kwenye siasa, uchumi, utamaduni, matibabu, elimu ya mzungu na elimu ya rohoni amesheni uoni angavu usio na mawaa yoyote.
- Bill Lugano, huyu ni jamaa mmoja mweledi sana. Nasema mweledi sababu nimekaa naye na ni mtu wangu wa karibu sana. Kijana mpole, mtaratibu, mcheshi, muungwana na ana elimu ya juu sana. Jamaa ana kipaji kikubwa sana cha kusimulia jinsi gani baba yake anavyokasirishwa na Laissez-faire, tabia aliyo nayo kijana wake.
- Pia anaelezea utajiri wake kwa tambo za kipekee huku akituvunja mbavu kwa bichekesho na akituhurumia. Jamaa ni mwandishi mzuri sana wa riwaya na tenzi za Kingereza (poems) wengi hukasirishwa na aina yake ya uandishi kupitia characters wake Kidukulilo na Bill Lugano.
- Pascal Mayalla, huyu ni Nabii mzee. Jamaa ameandika makala nyingi sana zenye maslahi kwa taifa, jamaa ni mwandishi mbobezi, aliyepitia misukosuko mingi ikiwemo kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Paskali, pia ni mwanasheria na ni kichwa kwelikweli, kwani katika wanafunzi 633, yeye ni miongoni mwa wanafunzi 26 tu waliofaulu.
- UMUGHAKA, huyu jamaa ni bonge ya story teller, aina yake ya usimuliaji umejaa msisimko usio elezeka, muda wote unatamani kusoma maandishi yake huku ukitokwa na vipele vya msisimko. Maandishi yake yanayosha kabisa kumfanya mama aende nayo Ulaya akatuletea msaada wa matrilioni usio na.masharti yoyote.
- GENTAMYCINE, huyu jamaa ni wa kipekee. Ndiye anayeongoza kwa kufahamika na mods wote na members wote hapa jukwaani. Jamaa ana akili za kurithi ambazo pia ameziongezea na elimu ya darasani na ya mtaani. Huyu akitoa ushauri hapa jukwaani, wizara zinaufanyia kazi ushauri wake, je ni nani mwingine kama yeye?
- DeepPond , ukiyataka masimulizi ya mahaba hapa ndio mahali pake. Hii mashine haina mfanowe kwenye hiyo sekta aisee, simulizi zake lazima zikuache mdomo wazi. Hebu fikiria, mchepuko wa rafiki yako umemtia rumande mke wa rafiki yako, unafanyeje hapo?
- FaizaFoxy , huyu mtu mmoja anaweza kufanya ligi na watu laki moja na akawaburuza. Sio uwongo, FaizaFoxy ni kichwa balaa, mpeleke kwenye dini, siasa, sayansi na teknolojia, kote yuko vizuri sana, hapendi ujinga, wee hata ukosee herufi moja tu, kwa jicho la tai ataona makosa yako.
- ROBERT HERIEL, mwalimu wa walimu, kuhani mweusi. Atakufundisha kama mwalimu na kukuadilisha kama kasisi. Kupitia makala zake tumekuwa tukiyaona mapungufu yetu, na tulipoweza kujikosoa tukajikosoa, tulipowe kujisamehe tukajisamehe na tulipoweza kujirekebisha tukajirekebisha
Hahahahaha kweLi kbsa mkuu inabd aliangalie kwa umakiniHata mimi nimeshangaa wiki hii ni mwendo wa kusifiana tu , inabidi Mama alitazame na hili.
Moja ya 'Character' ya Mtu Genius ( Brainiac ) ni lazima awe ama na Utukutu au Utundu fulani wa Kudumu ( Usiotatulika hata kwa Maombi ya Kanisani au Msikitini ) nashangaa 'authentic Moron' kama Wewe hapa Jamiiforums hili hujalijua japo unajifanya Umesoma.Hapa lazima nikupongeze maana haujatukana. Yaani wewe ukiacha matusi utakuwa the best hapa jamiiforums.
Umerejea kwenye kipaji chako cha matusi.Moja ya 'Character' ya Mtu Genius ( Brainiac ) ni lazima awe ama na Utukutu au Utundu fulani wa Kudumu ( Usiotatulika hata kwa Maombi ya Kanisani au Msikitini ) nashangaa 'authentic Moron' kama Wewe hapa Jamiiforums hili hujalijua japo unajifanya Umesoma.
Hakika kipaji chako cha kutukana unakitendea haki vizuri sana.Kwani kwa kuujua Upumbavu wa Mtu kama @Execute hakumbariki na chochote sana sana alizidi tu Kumuongezea Utaahira ( Uwendawazimu ) wake wa Kutukuka.
Ktk ubora wake [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]Umerejea kwenye kipaji chako cha matusi.
Baada ya maelezo yako,ungewapa "wanamemba"(kiswahili ya Bukavu)nafasi ya kuwataja wanao "wainsipaya"!π€π€π€π€Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu.
Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha. Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hayujayaishi bado nanhatujayafikia.
Huu ni uzi wa kutambua jambo kwa ufupi tu, vipaji tunavyovionesha kupitia maandishi yetu. Karibu na wewe utie nyama kwenye uzi huu. Asanye.
- Mshana Jr ni visionary, ndiye nabii wa jamvi letu. Jicho lake kali linaona miaka kumi elfu nyuma, na miaka mia elfu ijayo. Iwe kwenye siasa, uchumi, utamaduni, matibabu, elimu ya mzungu na elimu ya rohoni amesheni uoni angavu usio na mawaa yoyote.
- Bill Lugano, huyu ni jamaa mmoja mweledi sana. Nasema mweledi sababu nimekaa naye na ni mtu wangu wa karibu sana. Kijana mpole, mtaratibu, mcheshi, muungwana na ana elimu ya juu sana. Jamaa ana kipaji kikubwa sana cha kusimulia jinsi gani baba yake anavyokasirishwa na Laissez-faire, tabia aliyo nayo kijana wake.
- Pia anaelezea utajiri wake kwa tambo za kipekee huku akituvunja mbavu kwa bichekesho na akituhurumia. Jamaa ni mwandishi mzuri sana wa riwaya na tenzi za Kingereza (poems) wengi hukasirishwa na aina yake ya uandishi kupitia characters wake Kidukulilo na Bill Lugano.
- Pascal Mayalla, huyu ni Nabii mzee. Jamaa ameandika makala nyingi sana zenye maslahi kwa taifa, jamaa ni mwandishi mbobezi, aliyepitia misukosuko mingi ikiwemo kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Paskali, pia ni mwanasheria na ni kichwa kwelikweli, kwani katika wanafunzi 633, yeye ni miongoni mwa wanafunzi 26 tu waliofaulu.
- UMUGHAKA, huyu jamaa ni bonge ya story teller, aina yake ya usimuliaji umejaa msisimko usio elezeka, muda wote unatamani kusoma maandishi yake huku ukitokwa na vipele vya msisimko. Maandishi yake yanayosha kabisa kumfanya mama aende nayo Ulaya akatuletea msaada wa matrilioni usio na.masharti yoyote.
- GENTAMYCINE, huyu jamaa ni wa kipekee. Ndiye anayeongoza kwa kufahamika na mods wote na members wote hapa jukwaani. Jamaa ana akili za kurithi ambazo pia ameziongezea na elimu ya darasani na ya mtaani. Huyu akitoa ushauri hapa jukwaani, wizara zinaufanyia kazi ushauri wake, je ni nani mwingine kama yeye?
- DeepPond , ukiyataka masimulizi ya mahaba hapa ndio mahali pake. Hii mashine haina mfanowe kwenye hiyo sekta aisee, simulizi zake lazima zikuache mdomo wazi. Hebu fikiria, mchepuko wa rafiki yako umemtia rumande mke wa rafiki yako, unafanyeje hapo?
- FaizaFoxy , huyu mtu mmoja anaweza kufanya ligi na watu laki moja na akawaburuza. Sio uwongo, FaizaFoxy ni kichwa balaa, mpeleke kwenye dini, siasa, sayansi na teknolojia, kote yuko vizuri sana, hapendi ujinga, wee hata ukosee herufi moja tu, kwa jicho la tai ataona makosa yako.
- ROBERT HERIEL, mwalimu wa walimu, kuhani mweusi. Atakufundisha kama mwalimu na kukuadilisha kama kasisi. Kupitia makala zake tumekuwa tukiyaona mapungufu yetu, na tulipoweza kujikosoa tukajikosoa, tulipowe kujisamehe tukajisamehe na tulipoweza kujirekebisha tukajirekebisha
Natekeleza kwa Vitendo moja ya Character Kuu ya Mtu Kipanga ( Intelligent ) sana kama Mimi unayenichukia utadhani 'nimekukazia' Mkeo.Umerejea kwenye kipaji chako cha matusi.
Na kama hujui Kutukana Wewe siyo Kipanga ( Intelligent ) hivyo nakusihi ili nawe uwe kama Mimi Kiakili na Kiupeo anza Kutukana sawa?Hakika kipaji chako cha kutukana unakitendea haki vizuri sana.
Usinge mtaja taikon wa fasihi,nisingesoma Uzi wako.Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu.
Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha. Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hayujayaishi bado nanhatujayafikia.
Huu ni uzi wa kutambua jambo kwa ufupi tu, vipaji tunavyovionesha kupitia maandishi yetu. Karibu na wewe utie nyama kwenye uzi huu. Asanye.
- Mshana Jr ni visionary, ndiye nabii wa jamvi letu. Jicho lake kali linaona miaka kumi elfu nyuma, na miaka mia elfu ijayo. Iwe kwenye siasa, uchumi, utamaduni, matibabu, elimu ya mzungu na elimu ya rohoni amesheni uoni angavu usio na mawaa yoyote.
- Bill Lugano, huyu ni jamaa mmoja mweledi sana. Nasema mweledi sababu nimekaa naye na ni mtu wangu wa karibu sana. Kijana mpole, mtaratibu, mcheshi, muungwana na ana elimu ya juu sana. Jamaa ana kipaji kikubwa sana cha kusimulia jinsi gani baba yake anavyokasirishwa na Laissez-faire, tabia aliyo nayo kijana wake.
- Pia anaelezea utajiri wake kwa tambo za kipekee huku akituvunja mbavu kwa bichekesho na akituhurumia. Jamaa ni mwandishi mzuri sana wa riwaya na tenzi za Kingereza (poems) wengi hukasirishwa na aina yake ya uandishi kupitia characters wake Kidukulilo na Bill Lugano.
- Pascal Mayalla, huyu ni Nabii mzee. Jamaa ameandika makala nyingi sana zenye maslahi kwa taifa, jamaa ni mwandishi mbobezi, aliyepitia misukosuko mingi ikiwemo kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Paskali, pia ni mwanasheria na ni kichwa kwelikweli, kwani katika wanafunzi 633, yeye ni miongoni mwa wanafunzi 26 tu waliofaulu.
- UMUGHAKA, huyu jamaa ni bonge ya story teller, aina yake ya usimuliaji umejaa msisimko usio elezeka, muda wote unatamani kusoma maandishi yake huku ukitokwa na vipele vya msisimko. Maandishi yake yanayosha kabisa kumfanya mama aende nayo Ulaya akatuletea msaada wa matrilioni usio na.masharti yoyote.
- GENTAMYCINE, huyu jamaa ni wa kipekee. Ndiye anayeongoza kwa kufahamika na mods wote na members wote hapa jukwaani. Jamaa ana akili za kurithi ambazo pia ameziongezea na elimu ya darasani na ya mtaani. Huyu akitoa ushauri hapa jukwaani, wizara zinaufanyia kazi ushauri wake, je ni nani mwingine kama yeye?
- DeepPond , ukiyataka masimulizi ya mahaba hapa ndio mahali pake. Hii mashine haina mfanowe kwenye hiyo sekta aisee, simulizi zake lazima zikuache mdomo wazi. Hebu fikiria, mchepuko wa rafiki yako umemtia rumande mke wa rafiki yako, unafanyeje hapo?
- FaizaFoxy , huyu mtu mmoja anaweza kufanya ligi na watu laki moja na akawaburuza. Sio uwongo, FaizaFoxy ni kichwa balaa, mpeleke kwenye dini, siasa, sayansi na teknolojia, kote yuko vizuri sana, hapendi ujinga, wee hata ukosee herufi moja tu, kwa jicho la tai ataona makosa yako.
- ROBERT HERIEL, mwalimu wa walimu, kuhani mweusi. Atakufundisha kama mwalimu na kukuadilisha kama kasisi. Kupitia makala zake tumekuwa tukiyaona mapungufu yetu, na tulipoweza kujikosoa tukajikosoa, tulipowe kujisamehe tukajisamehe na tulipoweza kujirekebisha tukajirekebisha
Robert huwezi kumuelewa kama una akili ndogo.Mafundisho ya ROBERT HERIEL mengi ni misguided hivyo anacho kipaji cha upotofu, FaizaFoxy ni mfia dini aliyefundishwa na kukaririshwa ujinga huku GENTAMYCINE akiwa na kipaji cha matusi.
Karibu unilambe Kasinde, maana kila mara nafanya fukuza utitiri wa sisimizi...
Tupac unazingua π€£π€£
Mshana na Uzi wake pendwa# wa beer tamuMshana Jr .....kwanni asipewe partnership ya u CEO na Mello
sophy27 .....ana kipaji Cha ucharming
GENTAMYCINE .....ana kipaji Cha kuwa na akili nyingi .....ingawa Ni popoma
Ila kwa lugha yetu ya kinyakyusa ( popoma) ...Ni mtu ambaye Hana akili
Mafundisho ya ROBERT HERIEL mengi ni misguided hivyo anacho kipaji cha upotofu, FaizaFoxy ni mfia dini aliyefundishwa na kukaririshwa ujinga huku GENTAMYCINE akiwa na kipaji cha matusi.