Ngoja nifate kamba ππAnhaa siyo kweli mimi niwe shabiki wa Arsenal labda mninyonge
Ndugu zangu wote walala hoiMkuu mbona unamkataa ndguyo
Kuna siku alikua anaongelea mambo ya mafuta sijui kuchimba mafuta na kulipa madeni alafu wewe na yeye ndo mlikua mnatawala..Kwanini mkuu π
Unadhani mi ni ndugu wa rais.
Namsupport anapoongea facts tu, sio yale mambo yake kwamba ataleta ozone Tanzania, mara eti sayari ni nyota.Kuna siku alikua anaongelea mambo ya mafuta sijui kuchimba mafuta na kulipa madeni alafu wewe na yeye ndo mlikua mnatawala..
Juzi hapo ukatoa uzi una msifia huyu mtu
Mshangazi na NusratTaja member wawili ambao unahisi ni Ndugu humu?
Binafsi
ndege JOHN na Viatu vya Samaki hawa ni ndugu wa tumbo moja kasoro tarehe tu.
CC Zero IQ
ππππππππππππππππππππππππNamsupport anapoongea facts tu, sio yale mambo yake kwamba ataleta ozone Tanzania, mara eti sayari ni nyota.
#DennisRobertsAnatosha
Team fulani ya kinyamwezi ina uzi mkali sanaβ¦β¦Haha we team gani
Kachukue tu ila Arsenal hapana kwa kweli ππππNgoja nifate kamba ππ
Huu mwandiko urekebishe πSasa kilikushinda nini kusema hivi toka mwanzo ?
Lazima nifoke ili tuweze kuelewana πHuu mwandiko urekebishe π
unanifokea mkuu
Usiseme man uTeam fulani ya kinyamwezi ina uzi mkali sanaβ¦β¦
Unaona sasa π€Usiseme man u
Dah kwa nini bora hata ungeshabikia chelsea ππUnaona sasa π€
haha ngoja nikuitie mzabzab akuzabueLazima nifoke ili tuweze kuelewana
Aseee hayo matakataka mimi siwezi kushabikia πDah kwa nini bora hata ungeshabikia chelsea ππ
Asije akajichanganya shauri yakehaha ngoja nikuitie mzabzab akuzabue
Dah sawa bwana Cousin πππAseee hayo matakataka mimi siwezi kushabikia π