Taja member wawili ambao unahisi ni ndugu humu

Na juu unakaa mkora em tumanga hiyo Doo khaii, au tukuvamie tuharibu amani yako
Wakora juzi walini ambush wakachukua Doo zote nikaanza kulia na juu mimi ni kapera sikuwa na wakuni-calm down.

Nataka nimweka ndani bibi this year ili anitulize nikiwa kwa this situation.
 
Jamaa wamekiwasha balaa huko 😊 kenya.
Wanasema mwanafunzi wa form two kenya ni university material Tanzania.
Wanajivunia kingereza eti wanasema midomo ya watanzania Ina ujauzito wakati wa kuongea kiinglish.

Tofauti na kujua kingereza na kuwa na uhuru wa kutoa maoni wakenya tuko nao sawa kwenye vitu vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…